Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hana mamlaka kisheria kumpiga mtu huyo anatakiwa afukuzwe kazi kabisaTatizo mnataka kila kitu kulalama, kosa la jerry ni nini,lazima mtu upewe kitssa ili akili imkae mnajifanya mna huruma sana wakati upuzi wa madereva kutofuata sheria za barabarani ndiyo unasababisha ajali kila siku,