Tetesi: DC Jerry Muro atuhumiwa kumchapa makofi kondakta wa basi wakati akijaribu kujitetea

Tetesi: DC Jerry Muro atuhumiwa kumchapa makofi kondakta wa basi wakati akijaribu kujitetea

Huyu bwana atakuwa na matatizo ya kisaikolojia apewe msaada kabla hajazidiwa
 
Wallah! nami Ningempa za uso tena kali. kwani nini bana! liwalo na liwe.Uendawazimu mtupu huu kila kukicha.
 
Ingekuwa mm angetapika mtu nyongo,kamwe siwezi pigwa makofi na kunyamaza kurudisha labda mikono iwe na pingu.
 
Muro alikua sahihi kublock bus! Kwani dareva amekiuka sheria za barabara.swali angu kwa nini atumie sheria mkononi?je kupingwa kwa kondakta, kibao aikua sawa.
MARANA NI NJIA YA KUINGIA MOTONI PIA NI NJIA YA KUINGIA MOTONI.
 
epuka sana kuwapa watoto wakomajina ya ajabu

hqdefault.jpg


XE7nMAE8LrEzwBddKBV-yoZ4lttsVbjKPFf62A3eddVU06PnK_rIF0UNez_vedAsDsM59qaMHwZkyszR3g
 
Mi anichape kofi sshv angekuwa ICU
 
Wana JF

Habari za jioni, nimekutana na huu mkasa huko mitandao ya kijamii, kwenye post mojawapo za Jerry Muro, mtanzania mmoja amedai ya kuwa tukio hilo lilitokea huko Arusha ambapo, Kondakta wa basi husika alitoka kwa ajili ya kujitetea baada ya kupakia abiria sehem isiyo husika.

Kama kuna anayeweza kuthibitisha hili.

View attachment 860709
Hongera sana DC huyo konda alistahili makofi ya kutosha mbona kama amempapasa tu?
 
Daaa kuna watu wapole sana kama huyo konda, kwa nn hayanitokei yaliyompata konda? Dunia ingeniweka kwenye rekodi!
Unaandika haya kwa kuwa upo nyuma ya keyboard nenda kwenye uhalisia tena utachapwa mbele ya mkeo/mumeo wangapi tushawashuhudia wakipigwa mbele za familia zao?
 
Ingekuwa jerry ni afisa wa polis sawa. Maana wao ndio wamepewa mamlaka ya kutumia nguvu. Hakupewa yy kisheria.

Na yeye kavunja sheria
Mkuu unajichosha bure watanzania wengi ni mafala kama alivyosema mkapa na huyo unayemwelewesha ni fala yeye hajui kuwa kuna sheria anahisi kitendo cha mtu kuwa na mamlaka basi yeye ndiye Alfa na Omega anaweza kufanya atakalo juu ya mtu anayemtawala.
Na haya ndiyo mawazo ya Watanzania wengi.
Jiulize kama Mtanzania ambaye walau ameweza kuingia JF, ameweza tumia smart phone ina maana ana exposure kidogo yako hivi, je mawazo ya Mtanzania aliyeko huko budh ndani ndani yakoje?
Inasikitisha sana.
Konda ndiyo kakosea lakini Jerry hana mamlaka ya kumpiga makofi kuna sheria za kufuata kila mtu akiamua kumshiklisha adabu aliyeko chini yake pasipo kufuata sheria si balaa.
 
Back
Top Bottom