DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

Wewe ni kama yule mbunge tu, wivu tu, kuna muongozo juu ya mavazi watumishi wa umma wanatakiwa wavae nini, mpaka kuvaa hivyo tayari ameshapitia na kujilidhisha joket, usikengeuke acha midadi
 
Mkuu umuoe anatafuta bwana kwa nguvu zote na amewahi kusema waziwazi, huyo hata boda anamuona maana ana kiu ya kuolewa lakini hapati mwanaume, japo ni mjane mdogo wa taifa lakini ndiyo hivyo tena.
Kwa sasa atapata wa kumuoa soon maana kile kizuizi hakipo tena
 
Wewe unaishi karne ya ngapi?
Tupo 21st century sasa,maswala ya kuwaambia wanawake wavae mavazi marefu Ili midume isifadhaike tuliyaacha mwaka 47!mtoto kama huyu inabidi apige vitu vikali juu ya goti,kama USA,au UK!!
Rudi kwenye mada na punguza maaba.Tunaongelea kifua
 
Funika kakifua acha ujinga wewe mama
Kwako DC Jokate

Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya, binafsi nakukubali sana aina ya uongozi wako, umefanya kazi nzuri sana huko Kisarawe...
Funika kifua chako wewe mama, unataka nini, sura inatosha kuvutia wanaume, sasa unataka nakifua kivutie acha hizo ,, Huku kwetu ukija kama mkuu wa wilaya tunakuvalisha nguo zinazofunika kifua, Badilika sasa mama
 
Anza kumrekebisha mkeo maana naimani anavaa hovyo sana kuliko Jokate wetu🙂
 
Mbona kavaa poa tu.Labda uwe na ugonjwa ndiyo utapata tabu.
 
Nchi ngumu sana hii.
Hayo mavazi yana shida gani?
Sema tu avae kininja acha kuzunguzunguka si tunafahamu wewe ni alshabaab wa Msumbiji kaskazini?
 
Binafsi naona kavaa kiheshima tu vizuri.

By the way, huyu mh DC ameshaolewa? au bado?

She looks young forever!

Kuna jamaa yangu anampenda sana huyu DC, miaka miwili nyuma alikuwa anatamani mno kupeleka posa lakini alikuwa anaogopa sana! Sababu ya 'kuogopa sana' hakuwahi kunieleza.

-Kaveli-
 
Mkuu, mbona Jokate hajavaa vibaya katika mavazi yote uliyoweka hapa? Usije kuleta ushamba wa dini hapa na kulazimisha mtoto wa watu avae magunia kukuridhisha wewe na itikadi zako za kidini.
 
Wivu utakuua

kinachofata ni Jojo kuwa Mkuu wa Mkoa ndo akili zitakukaa sawa
 
Mawazo ya aina hii ndio yaliyokijaza kichwa chako, unaukagua mwili wa mtoto wa kike ukitafuta nini?

Ewe mnafiki, huwa mnalaumu Magufuli alikuwa dikteta, ila wewe na haya mawazo yako ya kuingilia mavazi ya mwingine hujioni kama u-dikteta pia, sijui mtaamka lini nyie viumbe.
 
Hivi hjyu kuna Kazi gani Nzuri ameifanya ?
 
Wewe ni kama yule mbunge tu, wivu tu, kuna muongozo juu ya mavazi watumishi wa umma wanatakiwa wavae nini, mpaka kuvaa hivyo tayari ameshapitia na kujilidhisha joket, usikengeuke acha midadi
Muongozo wa mavazi wa watumishi wa umma unakataza mwanamke kuacha kifua wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…