DC Jokate Mwegelo atoa siku saba kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao

Kama mmeamua kuwa wanga basi kawangeni tu
Hela sitoi na hakuna wa kunifanya chochote maana mimi siyo polisi wala sungusungu.
Utalipa tu, upende usipende, ukigoma jiandae kuingia 'lindo'.

Nyie mnaopinga hili ndio wafadhili wa 'panya road' mnaogopa mtaumbuka.
 
Utalipa tu, upende usipende, ukigoma jiandae kuingia 'lindo'.

Nyie mnaopinga hili ndio wafadhili wa 'panya road' mnaogopa mtaumbuka.
Tangu umezaliwa hadi umefika hapo ramli zimekusaidia nini maishani?
 
Kama ni lazima itabidi walipwe mishahara kima cha chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…