DC Jokate Mwegelo atoa siku saba kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao

DC Jokate Mwegelo atoa siku saba kwa wenyeviti wa Serikali za Mitaa kuunda Vikundi vya Ulinzi Shirikishi katika Mitaa yao

Kwhy kipindi cha Magufuri hakuna hakukuwa na uharifu.??

Hivi nyie watu watu vichwa vyenu huwa mnaviacha wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalifu ulikoma kipindi cha Magufuri,hata magari yalirusiwa kusafiri usiku, kwasababu wahaarifu waliisha, maana kabla ya hapo magari kutembea ilikuwa mwisho saa 6 usiku, kipindi cha Magufuri kila Mtu aliwajibika kulinda kibarua chake,sio Samia eti mtu afanye kazi kutoka moyoni,tunaanza kuona matokeo yake
 
Kwahiyo wananchi wote tufanye kazi za sungusungu?
Hapana, watafanya baadhi mtakaowalipa kwa michango yenu.

Hata mkiamua kufanya kwa sababu ya wingi wenu, kutakuwa na zamu na sio kila siku kila mtu atalinda.
 
... kwa hiyo nini kifanyike? Magufuli alishakufa na hawezi kurudi tena forever! Hana msaada wowote kwa sasa.
Yeye kama mkuu wa Wilaya alipaswa achimbe biti moja matata kupitia polisi, yaani panya road wote wangeogopa.
 
Hapana, watafanya baadhi mtakaowalipa kwa michango yenu.

Hata mkiamua kufanya kwa sababu ya wingi wenu, kutakuwa na zamu na sio kila siku kila mtu atalinda.
Polisi wanafanya kazi Gani?
Na Kodi zetu zinafanya kazi gani?
 
Polisi wanafanya kazi Gani?
Na Kodi zetu zinafanya kazi gani?
Polisi hawapo wengi kiasi cha kutosha kulinda mitaa yote ya nchi hii, lazima wana jamii mjiongeze.

Jukumu la usalama wako, lianzie kwako mwenyewe.
 
Polisi hawapo wengi kiasi cha kutosha kulinda mitaa yote ya nchi hii, lazima wana jamii mjiongeze.

Jukumu la usalama wako, lianzie kwako mwenyewe.
Nitalinda nyumba yangu mwenyewe
 
Back
Top Bottom