DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road.

DC Jokate ametoa kauli hiyo leo Septemba 26, 2022, kwenye maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango duniani yaliyoadhimishwa katika hospitali ya Mbagala Rangitatu iliyopo katika Manispaa ya Temeke.

Chanzo: EATV
 
So sasa mipango na dira ya Serekali imebadilika sio ishu ya kufyatua tu ila twende kwa hesabu na timing?

Hii nchi kuna shida sana kuliko tunavyojua. Ni wapi mliona nchi inaendelea bila kuwa na mipango consistent

Tuliambiwa gesi ya Mtwara ndio suluhisho baada ya mwaka tukaambiwa achaneni na gesi haina ishu tukazane na umeme wa Stiglers Gorge baada ya mwaka tukaambiwa huo sio wa leo wala kesho tuangalie gesi na umeme wa upepo.

Tuliambiwa vita ya uchumi ni kubwa na strategy ni kujifungia, kutimua wawekezaji na kutumia rasilimali zetu baada ya mwaka tunaambiwa dawa ni kufungua uchumi na kukumbatia wawekezaji. Tukaambiwa corona haipo ni ujinga wa kutunga tu baada ya miezi tukaambiwa corona ni tishio na inabidi tuchanjwe.
 
Maneno mengine kutamka wakati nae anatarajia.. mmmmh!!!

Aombe toba..

Yeye anazaa akiwa na uwezo wa kumlea.

D.c amesema ukweli. Malezi ni factor kubwa.

Mbona watoto wa wahindi hawawi ma panya road? Na wahindi wapo Tanzania miaka na miaka wamejaa kibao

Ngumu sana kukutana na jambazi, Teja, changudoa ama panyarodi muhindi.

Umaskini na malezi mabovu yana mchango mkubwa kwenye crime
 
Yeye anazaa akiwa na uwezo wa kumlea.

D.c amesema ukweli. Malezi ni factor kubwa.

Mbona watoto wa wahindi hawawi ma panya road? Na wahindi wapo Tanzania miaka na miaka wamejaa kibao

Ngumu sana kukutana na changudoa ama panyarodi muhindi.

Umaskini na malezi mabovu yana mchango mkubwa kwenye crime

Hauna uGT kabisaaa.. saga meno.. umeandiks weeee.. fundisha tuisheni.. utoe kuboreka.. ungetulia ufikirie nje ya boksi.. labda kuzoea kila kitu uandikiwe ni shida sana unayo...
 
Uchumi unajengwa na watu hebu zaeni tuifikie china mayai mmepewa bure yatumien
307357901_632993038453220_4467301645669220260_n.jpg
 
Back
Top Bottom