mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 136
Yeye anazaa akiwa na uwezo wa kumlea.
D.c amesema ukweli. Malezi ni factor kubwa.
Mbona watoto wa wahindi hawawi ma panya road? Na wahindi wapo Tanzania miaka na miaka wamejaa kibao
Ngumu sana kukutana na jambazi, Teja, changudoa ama panyarodi muhindi.
Umaskini na malezi mabovu yana mchango mkubwa kwenye crime