DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

Acha wazae, Kila mtoto ajapo duniani huja na sahani yake.

Wazazi wafanye KAZI Kwa bidii wa kike na wa kiume, baass!!!
 
Tatizo tunazaa kwa sababu tu umehisi nyege hatuna muda wa kukaa chini na kupanga tunaangushana tu kitandani
Ndo ujumbe wa DC Joketi unapolenga hapo, imagine Mungu aliyetuumba alianza na uwekezaji ndo akamtengeneza mwanadamu aje kutawala na kula mema ya nchi sisi tunataka tuishi kama wanyama bila mipango unazalisha watoto au unazaa watoto na uwezo wa kuwalea huna unaanza kuchukia wenye mipango kama mchawi.
 
Wito huu ulitakiwa utolewe miaka 40 iliyopita now it's to late 🐴 already bolted
 
Kila kona wanamkana Jiwe!
 
Elimu ya afya ya uzazi ni ndogo sana katika jamii zetu pia inadharaulika na wanandoa wengi sana, pia mfumo wa malezi katika jamii zetu ni mbovu sana.
 
Kwa hili she has my vote!
 
Elimu ya afya ya uzazi ni ndogo sana katika jamii zetu pia inadharaulika na wanandoa wengi sana, pia mfumo wa malezi katika jamii zetu ni mbovu sana.
Ni muda sahihi sasa kuipa uzito unaostahili. Haitoshi watu kupanua tu mapaja but totally irresponsible kwenye malezi.
 
Changudoa wahindi wapo kibao! Sema wao wanauza kwa kificho sana na wana bei sana! Kulala nae unaweza ambiwa USD 500 au 1000! Show time USD 100 na anakufata hotelini kwako au kwenye apartment ulipo!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Zama za ukabaila watoto wakitumika kama nguvu kazi kuzalisha. Leo tunaongelea artificial intelligence Mzee.
Nadhani umeongea kitu kilicho bora zaidi, dunia sasa inafanya mapinduzi ya nne ya Kisayansi na kiteknolojia ulimwengu unaenda kwenye utegemezi mdogo wa rasilimali watu na kuikumbatia artificial intelligence technology [ AI ], kwa hiyo ni hasara kuhamasisha watu kuzaliana kama siafu ni hasara huko tuendako.
 
Nchi CCM ni janga kuu
 
Vipi wale waliozaliwa then uchumi ukayumba kwa mzazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…