DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

Panyaroad ni zao la ccm kushindwa kuoanisha nguvu Kazi zilizopo na raslimali tele zilizopo
 
Miaka ile ya slavery na ukabaila kazi iliyofanywa na watu elfu leo by using technology the same or even more piece of work is performed by just one human being funny enough with a better quality!
 
Nenda India utawakuta panyarodi wa kihindi
 
Vipi kuhusu panyarodi wa kihindi.. ama jambazi wa kihindi?
Hujui kama wahindi ndiyo panya road wakubwa?? Au unataka na wenyewe wabebe mapanga waingie barabarani kukaba watu?? Wenyewe wana upanya road wao! Wanapiga minofu ya nyama kwa deal kubwa kubwa!
 
Hujui kama wahindi ndiyo panya road wakubwa?? Au unataka na wenyewe wabebe mapanga waingie barabarani kukaba watu?? Wenyewe wana upanya road wao! Wanapiga minofu ya nyama kwa deal kubwa kubwa!

Hapo wanakuwa na tauti gani na viongozi mafisadi ama wana siasa mafisadi wanaotawala nchi?

Malezi mabovu ndio yanazalisha hao panyarodi wanaobeba mapanga na kuua watu.
Kama wangekuwa wamelelewa vizuri na kupata elimu nzuri wasingebeba mapanga
 
Yule Bwana wao alitoaga amri wanawake wafyatue tu watoto Nchi yetu Ni kubwa !!
Leo mmemgeuka !!!
 
Chama Cha mbogamboga na watu wake ndio virus inayoitafuna NCHI hii...
 
Maneno mengine kutamka wakati nae anatarajia.. mmmmh!!!

Aombe toba..
Ye ana uwezo wa kulea,hamna baya alotamka,ni ukweli kwamba Moja ya factor kubwa inayosababisha watoto wahalifu ni uzazi usio wa mpango
 
Nchi haijawahi kuwa na dira ya pamoja. Kila anayechukua kiti anakuja na dira yake.
 
Jokate usinene ukamala kumbuka wewe ni mzazi na hakuna bingwa wa malezi
 
Elimu ya afya ya uzazi ni ndogo sana katika jamii zetu pia inadharaulika na wanandoa wengi sana, pia mfumo wa malezi katika jamii zetu ni mbovu sana.
Ni muda sahihi sasa kuipa uzito unaostahili. Haitoshi watu kupanua tu mapaja but totally irresponsible kwenye malezi.
Mpo sahihi kabisa, kuzaa kwa mipango ni muhimu kwa dunia ya sasa.
 
Hakuna jamii iliyo na wasafi pekee. Kwao umeshaishi India ukaona hakuna magenge Kama haya kweli
Yapo ya kutosha, tena hatari kweli.

Hata wao ongezeko kubwa la watu ni tatizo kubwa mno hasa kwa kukithiri umasikini mkubwa kwenye baadhi ya majimbo na jamii.
 
Hakuna jamii iliyo na wasafi pekee. Kwao umeshaishi India ukaona hakuna magenge Kama haya kweli

Panyarodi wa kihindi ili niwaone mpaka niende india.

Tanzania wahindi wapo miaka na miaka na wapo kibaoo . Hapa Tanzania Mbona hatuoni panya rodi wa kihindi? Na huku tunaishi nao nchi moja miaka kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…