mberege rukiko
Senior Member
- Jul 19, 2016
- 171
- 136
Yeye anazaa akiwa na uwezo wa kumlea.
D.c amesema ukweli. Malezi ni factor kubwa.
Mbona watoto wa wahindi hawawi ma panya road? Na wahindi wapo Tanzania miaka na miaka wamejaa kibao
Ngumu sana kukutana na jambazi, Teja, changudoa ama panyarodi muhindi.
Umaskini na malezi mabovu yana mchango mkubwa kwenye crime
Huyo dogo alikuwa mshenzi tu!"Fyatueni tu elimu bureeeee" alisikika dogo mmoja akiongea peke ake
....Tena ukizingatia kwamba hiyo mimba yenyewe kaipata kiholela na kinyemela tu.....[emoji2][emoji2][emoji85][emoji85][emoji87][emoji87][emoji1751][emoji1751][emoji2223][emoji2223]Maneno mengine kutamka wakati nae anatarajia.. mmmmh!!!
Aombe toba..
Huyu binti yy amezaa?au hajazaaMkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road.
DC Jokate ametoa kauli hiyo leo Septemba 26, 2022, kwenye maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango duniani yaliyoadhimishwa katika hospitali ya Mbagala Rangitatu iliyopo katika Manispaa ya Temeke.
Chanzo: EATV
Ndio kazi ya udc wa mchongo wala huwezi jua nn uongee.matatizo ni mengi sana sana.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road.
DC Jokate ametoa kauli hiyo leo Septemba 26, 2022, kwenye maadhimisho ya siku ya uzazi wa mpango duniani yaliyoadhimishwa katika hospitali ya Mbagala Rangitatu iliyopo katika Manispaa ya Temeke.
Chanzo: EATV