Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hapo ni dharau kwa Serikali na chama ila siyo kwa Wananchi.Ni dharau kwa wananchi. Yaani ni kama mwizi anakuibia halafu anarudi kukutambia. Au jamaa anachukuwa mke wako halafu anarudi kukutambia kuwa huwezi kumfanya chochote.
Kama msemaji anavyofafanua wameshachakata Taarifa zote vijiji na Kata inaonekana hali ya Mama sio nzuriππSiamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Hiyo michezo ma ccm IPO tangu na tangu na mpka Sasa inaendeleaMimi mjinga sawa,ila mhusika Yuko wapi Muda huu!?
Jamaa amesema yuko ToughHapo ni dharau kwa Serikali na chama ila siyo kwa Wananchi.
Huyo nyerere ndio alikuwa anapenda mambk hayo. Itakuwa humjui vizuri wewe.Ni ukweli kwa kila mtu.
Chaguzi zetu ni za ovyo sana.
Hatupati viongozi wanaopendwa na wananchi bali wanoopendwa na Tume.
Nyerere akifufuka ataweza lia.
Nadhani!Naona watu mnakuwa wepesi sana kusahau kuwa Kuna albadiri ilisomwa mara baada ya Lissu kupigwa risasi kwa wana CCM.
Sasa mmesahau kuwa albadiri ni Sawa na criminal case huwa haina expire?
Choicevariabl na Tlatlaat wako wapi?Hiyo michezo ma ccm IPO tangu na tangu na mpka Sasa inaendelea
Mwamba kaamua kutusanua hamna namna
Nabik Jacob namkubali sana. Kila siku lazima nisikilize Yale ambayo Roho Wa Bwana ananena na kanisa.Nadhani!
Wasijulikana kujulikana by huduma ya kristo pia alitabiri hili jambo!
Mjinga? Ujinga wake uko wapi?Hivi Mtu Mjinga kama huyu aliwezaje kuwa DC?
Ndio jamaa hana makuu!anaitendea haki huduma yake!Nabik Jacob namkubali sana. Kila siku lazima nisikilize Yale ambayo Roho Wa Bwana ananena na kanisa.
Kila analosema naona likitimia siku hadi siku.
Nenda Youtube Google Huduma ya Kristo.
Umeandika ili uone unajibiwa au umepitiwa kuandika kitu kama hiki?Afukuzwe na aseheme alifanya nini kwenye mapori,huenda aliuua,poor Tanzania!!
Mama hayataki au laana ya kutoa siri za mama na hayati mwendazake? Kwani uongo ccm mnateka na kupoteza watu?Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Ulitakiwa kumpongeza yeye kwanza kwa kusema ukweli hadharani bila woga.Shukrani nyingi zimwendee aliyemdukua, huyu mjinga alikuwa anaropoka akijua hakuna anayemrekodi, Masikini wasipewe vyeo, wakivipata wanajipa Uungu
Ni kweli.Mama hayataki au laana ya kutoa siri za mama na hayati mwendazake? Kwani uongo ccm mnateka na kupoteza watu?
Huyu kadukuliwa hakusema hadharani, na alikuwa anaongea kwa kujimwambafy, hakuongea kwa kujutaUlitakiwa kumpongeze yeye kwanza kwa kusema ukweli hadharani bila woga.
Wewe hujafurahi alivyoropoka?Huyu kadukuliwa hakusema hadharani, na alikuwa anaongea kwa kujimwambafy, hakuongea kwa kujuta