Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
DC amesema kile ambacho huwa wanafanya na ambacho wamejiandaa kufanya. Na ukisikiliza kwa makini wote waliopo hapo ni Madiwani wa CCM hivyo alijua ni kama kikao cha ndani tu. Kuna MCCM hapo kachoma utambi.
 
Ila ajabu bado kuna watu wataenda tena kupanga foleni kupiga kura huku wakitarajia kuwa ccm anaondoka madarakani. Nashukuru Mungu ugonjwa huo mie sina.
Mkuu hutakiwi kukubali mibinu za wapinzani.

Huo ni mpango wa sheitwani wa kutukatisha tamaa kuiondoa ccm madarakani
DC amesema kile ambacho huwa wanafanya na ambacho wamejiandaa kufanya. Na ukisikiliza kwa makini wote waliopo hapo ni Madiwani wa CCM hivyo alijua ni kama kikao cha ndani tu. Kuna MCCM hapo kachoma utambi.
Kwa Maisha haya yunayo ishi watanzania hakuna mwananchi anaye wafurahia kamwe.

Ndiyo maana wana wanavujisha sana siri za maazimio ya vikao vyao
 
Hapo ni dharau kwa Serikali na chama ila siyo kwa Wananchi.
Kwa wananchi. Inaonyesha hawaogopi wananchi na wako tayari kusema wanaiba kwa sababu wanajua sisi wananchi ni matutusa. Haiwezi kuwa dharau kwa serikali kwa sababu wao siku zote ni wezi na wako pale kula na kustarehe.
 
Kwa wananchi. Inaonyesha hawaogopi wananchi na wako tayari kusema wanaiba kwa sababu wanajua sisi wananchi ni matutusa. Haiwezi kuwa dharau kwa serikali kwa sababu wao siku zote ni wezi na wako pale kula na kustarehe.Maccm ni masheitwan
 
Dah..kmmke
 
Mtukufu Malkia,Vikaragosi wameanza kutoa Siri huku.

Kikaragosi mkuu alisikika akimuambia mchawi Karaba.
Hiyo ni baada ya msaidizi wa malaika kutangulizwa mbele ya haki
 
Kuna geno**de inafichwa kwa nguvu. And sijui why inafichwa? But hawa watu wahusika wanatakiwa washtakiwe mahakama za kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…