Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DC amesema kile ambacho huwa wanafanya na ambacho wamejiandaa kufanya. Na ukisikiliza kwa makini wote waliopo hapo ni Madiwani wa CCM hivyo alijua ni kama kikao cha ndani tu. Kuna MCCM hapo kachoma utambi.Kuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Mkuu hutakiwi kukubali mibinu za wapinzani.Ila ajabu bado kuna watu wataenda tena kupanga foleni kupiga kura huku wakitarajia kuwa ccm anaondoka madarakani. Nashukuru Mungu ugonjwa huo mie sina.
Kwa Maisha haya yunayo ishi watanzania hakuna mwananchi anaye wafurahia kamwe.DC amesema kile ambacho huwa wanafanya na ambacho wamejiandaa kufanya. Na ukisikiliza kwa makini wote waliopo hapo ni Madiwani wa CCM hivyo alijua ni kama kikao cha ndani tu. Kuna MCCM hapo kachoma utambi.
Kwa wananchi. Inaonyesha hawaogopi wananchi na wako tayari kusema wanaiba kwa sababu wanajua sisi wananchi ni matutusa. Haiwezi kuwa dharau kwa serikali kwa sababu wao siku zote ni wezi na wako pale kula na kustarehe.Hapo ni dharau kwa Serikali na chama ila siyo kwa Wananchi.
God bless Tanganyika forever!Siku ya kufa nyani miti yote huteleza!
R.I.P CCM
R.I.P Tanzania
God Bless Tanganyika.
Kwa wananchi. Inaonyesha hawaogopi wananchi na wako tayari kusema wanaiba kwa sababu wanajua sisi wananchi ni matutusa. Haiwezi kuwa dharau kwa serikali kwa sababu wao siku zote ni wezi na wako pale kula na kustarehe.Maccm ni masheitwan
Dah..kmmkeSiamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Wapo akina Dr Benson Bagonza na Dr. Charles KitimaUnategemea Malasusa aseme nini?
Liwalo na liwe tuuHiyo ni baada ya msaidizi wa malaika kutangulizwa mbele ya haki
Kuna geno**de inafichwa kwa nguvu. And sijui why inafichwa? But hawa watu wahusika wanatakiwa washtakiwe mahakama za kimataifaAlitumwa na serikali kuua Wapinzani ili wapite bila kupingwa, Iko hivi, January, Nape,Riziwani na Kasimu Majaliwa walipita bila Kupingwa huku wagombea wa upinzani wakikamatwa ama kuokotwa kwenye mapori ya Mkurunga, Kwa Mfano, Mgombea wa Chadema Mtama aliyeitwa Suleiman Mathew alikamatwa kwenye ofisi ya Ded akirejesha fomu ya kugombea Ubunge, akapewa kesi ya uongo ya Uhujumu Uchumi, Mgombea wa upinzani Jimbo la Rwangwa aliokotwa Mkuranga akiwa nusu Maiti, hili ni Jimbo la Kasimu Majaliwa.
Haya Mambo yalifanywa Mchana kabisa huku kila mtu akiona kwa macho.
Mwingine ambaye baadaye atakamatwa na kushitakiwa ni Abood wa Morogoro, huyu pia aliteka Wagombea wa Upinzani akiwemo Mgombea wa Chadema
Mnyororo ni mrefu mno na nakuhakikishia kwamba siku zijazo watakamatwa na kushitakiwa, Ushahidi umejaa tele, hakutakuwa na Mswalie Mtume, Usalama wao ni Kufa kabla ya Kukamatwa, lakini wakiwa Hai watakamatwa hata wakiwa kwenye Wheel Chair
Mbona hiyo ipo wazi kabisa? Haihitaji maelezo hata kidogo.Mkuu wa wilaya atueleze kule maporini walikuwa wanafanya nini ?!!
Anamweka Mwenyekiti kwenye wakati mgumu.Shukrani kwa aliyemdukua
Kwa hiyo hata Mungu asipotaka watashinda tu?Bagonza na Dr Kitime wanatimiza majukumu yao kwa asilimia 100.
Msikilize na mlevi mwingine huyu kutoka Lumumba
Mavumbi stoo hivi kwanini huwa hayakosekaniAnamaanisha kwamba serikali ni ya majizi🤣
Mkuu wacha tucheke tu maana hakuna namnaNimecheka kama Sina akili