Pre GE2025 DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi Mtu Mjinga kama huyu aliwezaje kuwa DC?
Unafeli ndugu, ameweka ukweli ili mkabiliane nao unamuona mjinga!!?
Kumbuka hakufanya hayo kwa matakwa yake, ametumwa.
Na huwenda nafsi inamsuta kwa aliyoyafanya, ameamua kubwabwaja ili kujiponya lakini pia kuwapa tahadhari.
Mpe heshima yake
 
Huo ndio ukweli jamaa!!

Safari hii makada wanamwaga ugali na mboga!
Naona watu mnakuwa wepesi sana kusahau kuwa Kuna albadiri ilisomwa mara baada ya Lissu kupigwa risasi kwa wana CCM.

Sasa mmesahau kuwa albadiri ni Sawa na criminal case huwa haina expire?
 
Sawa, lakini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho!
 
Wakuu Tuzidishe maombi....Yeriko inabomoka.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mungu ameamua kutumia Nebkadineza kuokoa Kizazi chake cha Israeli.

Atakayekaida mimi simo.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Afukuzwe na aseheme alifanya nini kwenye mapori,huenda aliuua,poor Tanzania!!
Kwa nini afukuzwe ikiwa anaamini kuwa alichosema ni sahihi?

Najua ashatenguliwa, lakini huo ni uonevu tu! Wakubwa wake walitakiwa kutokea ufafanuzi madai yake na si kumfukuza.

Kwani ni kosa mtu kusema ukweli?

Labda alichosema kina ukweli. Na kama hakina ukweli, mamlaka husika ilipaswa kukanusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…