Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Amesema ukweli au uongo?Watu wenye tabia kama ya huyu ndiyo wamejaa sana ndani ya utawala wa sasa.
Huyo kumbuka ni kada mtiifu wa CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema ukweli au uongo?Watu wenye tabia kama ya huyu ndiyo wamejaa sana ndani ya utawala wa sasa.
Huyo kumbuka ni kada mtiifu wa CCM.
Kwani amesema uongo?Mimi mjinga sawa,ila mhusika Yuko wapi Muda huu!?
Dharau kivipi wakati kasema ukweli?Ukweli kwa wana CCM lkn kwa wananchi ni matusi na dharau sana
Unafeli ndugu, ameweka ukweli ili mkabiliane nao unamuona mjinga!!?Hivi Mtu Mjinga kama huyu aliwezaje kuwa DC?
Nimekuuliza wewe hapo. Mwenyekiti kamtemesha bungo kwa sababu ya uropokaji wake.Muulize mwenyekiti wenu wa CCM kwanini amemtemesha bungo
Ni ukweli kwa kila mtu.Ukweli kwa wana CCM lkn kwa wananchi ni matusi na dharau sana
Ni dharau kwa wananchi. Yaani ni kama mwizi anakuibia halafu anarudi kukutambia. Au jamaa anachukuwa mke wako halafu anarudi kukutambia kuwa huwezi kumfanya chochote.Dharau kivipi wakati kasema ukweli?
Naona watu mnakuwa wepesi sana kusahau kuwa Kuna albadiri ilisomwa mara baada ya Lissu kupigwa risasi kwa wana CCM.Huo ndio ukweli jamaa!!
Safari hii makada wanamwaga ugali na mboga!
Sawa, lakini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho!Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Wakuu Tuzidishe maombi....Yeriko inabomoka.Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.

Na Dr Bashiru piaNa Mchengerwa pia
Mungu ameamua kutumia Nebkadineza kuokoa Kizazi chake cha Israeli.Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Kwa nini afukuzwe ikiwa anaamini kuwa alichosema ni sahihi?Afukuzwe na aseheme alifanya nini kwenye mapori,huenda aliuua,poor Tanzania!!