Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Kwa kauli kama hizi Viongozi wa Dini utaona wako kimya wanawaachia Chadema na wanaharakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitumwa na serikali kuua Wapinzani ili wapite bila kupingwa, Iko hivi, January, Nape,Riziwani na Kasimu Majaliwa walipita bila Kupingwa huku wagombea wa upinzani wakikamatwa ama kuokotwa kwenye mapori ya Mkurunga, Kwa Mfano, Mgombea wa Chadema Mtama aliyeitwa Suleiman Mathew alikamatwa kwenye ofisi ya Ded akirejesha fomu ya kugombea Ubunge, akapewa kesi ya uongo ya Uhujumu Uchumi, Mgombea wa upinzani Jimbo la Rwangwa aliokotwa Mkuranga akiwa nusu Maiti, hili ni Jimbo la Kasimu Majaliwa.Kwenye MAPORI alifanya nini ?!!
Awaeleze watanzania....alifanya nini huko maporini ?!!
Sasa huyu haogopi kumkuta yaliyowakuta wenzake Kwa kuzungumza uchaguzi in negative way,. Kwamba serikali inatumia njama Ili sisiem ishinde? Au ndio kama alivyosema sio mwogaSiamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma: Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!
Unategemea Malasusa aseme nini?Kwa kauli kama hizi Viongozi wa Dini utaona wako kimya wanawaachia Chadema na wanaharakati
Shukrani kwa aliyemdukuaDC aweka mambo kweupe hadharani jinsi serikali ya chama dola kongwe kinavyovuruga chaguzi
View attachment 3084380
Picha : MKUU WA WILAYA YA LONGIDO MHE. MARKO HENRY NG'UMBI
Haya mambo ni mazito sana.
Mkuu wa wilaya atueleze kule maporini walikuwa wanafanya nini ?!!Shukrani kwa aliyemdukua
Afukuzwe na aseheme alifanya nini kwenye mapori,huenda aliuua,poor Tanzania!!
Hii kauli ya mkuu wa Wilaya ya Longido imeniogopesha sana
Niishie hapo 🐼
Yani ni kilio toshaUnategemea Malasusa aseme nini?
Hahaaaaaa hiko nahisi kama alikiwa anaongea kwenye baraza la madiwani sasa waandishi wa habari wakaamua kuitoa hiyo video nje na kuisambaza mtandaoni.Kuna watu wamefanya albadili nini. Sio watu kuropoka ya sirini
sahihi ,masai kiboko wanathibitisha wenyewe matendoyaoKachanganyikiwa...
Karogwa.....
Huyo karogwa ?!!
Kala USAMBO ?!!
Kwani amelishwa USAMBO ?!!
Hayo ni maneno yake....yeye mwenyewe....
Mkuu ulitaka viongozi wa dini waseme nini? Mbona mnawalaumugi watu bila sababu kiongozi?Kwa kauli kama hizi Viongozi wa Dini utaona wako kimya wanawaachia Chadema na wanaharakati