Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamelewa madaraka kiasi hawaoni sababu ya kupima athari za maneno yaoHivi hawa viongozi wa CCM huwa wanajiuliza madhara ya maneno Yao kwa wananchi yatapokelewaje?
Kwa maana yako wapinzani ndiyo wanatoa hayo matamko ya hovyo kama huyo dc wa Longido?Upinzani ni kama umeumbwa na macho kwenye makalio, huwa wana kazi ya kuamua watembee uchi waone au wajisitiri wawe vipofu.
Doa gani wewe mjinga wakati ni ukweliKuna haja ya kuanzisha shule Ya kukuza uelewa Kwa viongozi wapuuzi kama huyu DC,anaongea ambayo mama hayataki,akiwemo ofisini kufikia kesho itakuwa ni doa Kwa serikali yetu.
Kwa maana yangu ni upinzani una macho ila yapo makalioni, uamuzi ni kwao, kutembea uchi waone au wajisitiri wawe vipofu.Kwa maana yako wapinzani ndiyo wanatoa hayo matamko ya hovyo kama huyo dc wa Longido?
Hivi nyinyi uvccm mafunzo yenu Hawa mnajifunzia maujinga?
Hawawezi kukimbia bila kukimbizwa wana roho mbayaHawa wapumbavu ni swala la muda tu Tena imebaki kidogo sana watakimbia.
Mimi mjinga sawa,ila mhusika Yuko wapi Muda huu!?Doa gani wewe mjinga wakati ni ukweli
Huu ndio ukweli.Siamini kama haya maneno yanatoka kinywani mwa kiongozi mkubwa.
Naomba tumsikilize kwa makini anavyo wadharau wapiga kura na anavyo jimwambafai kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020.
Kama viongozi wetu wapo hivi sioni kama uadilifu unaoimbwa na wenzake utakuja kutimia.
Asante sana CCM, idumu.
"Na mimi naomba niwahakikishie, mimi niko very tough, kama kuna mtu ambaye siyo mwoga ni mimi! Wote hapa madiwani mwaka 2020 hayuko diwani aliyepiga kampeni hapa nyumba kwa nyumba, hakuna!
"Sasa yale mazingira ya mwaka 2020 siyo kwamba yalikuja yenyewe automatically kwasababu ninyi mlikuwa wagombea bora sana, ni mazingira ambayo yalikuwa, yametengenezwa na serikali ndio iliyofanya kazi ile ya wewe kupita bila kupingwa.
"Na kuna watu mnafahamu kilichotokea kwenye mapori huko na sehemu zingine na mimi nilihusika kwenye majimbo fulani fulani, sasa mazingira yale ni serikali ndiyo iliyofanya ile kazi, diwani huna ujanja wowote kwenye kata yako ya kwamba utashinda bila serikali, HAKUNA.
"Na usije ukajidanganya ndio maana sisi sasa hivi tumeshafanya kazi huko kubwa sana, ya kuchakata huko kwenye kata, vijiji, vitongoji vyote, taarifa zile zote tunazo, hali ya mambo jinsi ilivyo, tunaendaje.."
View attachment 3084265
Pia soma:
Huo ndio ukweli jamaa!!Huyu ni sawa na alivyoropoka Nape tu, hakuwa na nia njema ila kadukuliwa kwa Bahati mbaya