Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

Chawaism ni adui namba nne kati ya wale ambao nyerere alikwisha wasema miaka hiyo, praise , kupongezana, ilimradi asikose cheo
 
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

Njaa imepanda kichwani. Anamtaja mbwaa kama stivi mengele. Huyu inaonekana ulemavu umo hata kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom