Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

As of recent reports, Nigeria's All Progressives Congress (APC) is considered the ruling party in Africa with the highest number of registered members. In 2021, the APC announced that it had over 41 million registered members across Nigeria.

In comparison, Tanzania's Chama cha Mapinduzi (CCM) was reported to have approximately 8.4 million active members as of 2023.

Therefore, based on available data, the APC holds the position as Africa's largest ruling party by membership.
 
Anajikuta chawaaaa.....ili asije kutolewa pale maana hana uhakika kesho yake ajira pale kila kitu bureee....wamemtuma sana kwa waganga acha ajione chawa mkuu....low IQ
 
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

Huyu ni mzee wa show by Show, nchi inavituko sana, wateule wamechanganyikiwa, wamekua machawa, kazi ipo, sio mda wataanza kuvaa kanga
 
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

Hii nchi wehu na matahaiira wengi hawajepelekwa mirembe kwa matibabu
 
Ndio maana USAID walikuwa wanatupatia misaada Hadi ya kuinua kiwango cha ushoga nchini!
IMG_5874.jpeg
 
Uchawa unanguvu sana! Na bila shaka hii yote kwenye kutetea ugali wao.

Sasa Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ameamua kuvaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza Rais Samia kwa kazi nzuri anayoifanya katika kuendelea kuwaletea wananchi maendeleo.

Tanganyika,tutafika kweli?? Kila siku watu wanaigiza maisha!
 
Back
Top Bottom