Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maskani ya njaa ni tumboni, ukiona imepanda kichwani jua una hali mbaya sana - Masoud Kipanya
 
Kutoka kuwa Mzee wa protokali Hadi kuwa DC!
 
Mungu nisamehe kwa nilichokiwaza kwani bado tunazaa
 
Eunuchs and pygmies were used to amuse emperors and rulers from time immemorial.
 
Hivi vyeo vilitakiwa vifutwe vinafanya taifa linazidi kuwa na watu wa hovyo..!!
 
Back
Top Bottom