Pre GE2025 DC Magoti wa Kisarawe: Avaa vazi la Samia style kama sehemu ya kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanao Fanya kazi private, Mara nyingi mtu akishindwa kufanya kazi yake na kua productive anaanza uchawi, fitina na kujipendekeza kwa boss.

Serikalini, mtu akishindwa kufanya kazi yake anaanza uchawa maana ndo njia pekee ya kuendelea kubaki na hyo kazi.
 
Kumbe hiyo style ni unisex?!
 
Kwakweli tuna kazi ndefu ya kusafisha akili
 
Kuna siku atajitokeza mtu kusema anataka kuolewa kama mke mwenza wa Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…