Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Mh.Makala ni bonge la RC....jamaa yuko "smart" sana upstairs👊RC Makala ni mwelewa sana kuliko unavyodhani. Anafahamu kuwa hakuna dhamira mbaya kwenye hili zaidi ya kujisahau
Hii inaonyesha kuwa hujawahi kutoka nje ya nchi hii, unadhani hivyo ndivyo inatakiwa iwe. HAPANa kaka sio kila mahali kunatakiwa kuuzwe nyanya kwenye meza, haiko hiyo duniani. Ukifanya hivyo huwezi kuzalisha walipakodi wakubwa, mtagawana umaskini kwenye kaya. Mipango miji ni muhimu sanaHao watu wanasogeza huduma karibu zaidi kwa wananchi hasa wanyonge, unavunja vipi hadi magenge ya kuuza nyanya, vitunguu, matunda. Mnataka kila mtu akanunue nyanya na vitunguu mlimani city? Wanyonge watamudu kweli? manispaa wajipange namna watakavyowasimamia hao watu kwenye maeneo wanapofanyia shughuli zao, siyo kutumia ubabe tu kuwaondoa.
Heading ya uzi wako haujaeleweka. DC Makalla ndio yupi na yupo Wilaya gani? Au ulikuwa unamaanisha Mkuu wa Mkoa Dsm Amosi Makala?Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo:
1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na kununua bidhaa.
2. Waliohama maeneo kukosa wateja na kipato.
3. Waliohama kupata sonona.
4. Waliohama kuwaza kurudi pia kwenye maeneo Yao.
5. Serikali kudharaulika kwa kukurupuka.
6. Kuonyesha kuwa Kuna mvutano ndani ya Chama na serikali na ndani ya Chama na ndani ya serikali.
7. Wamachinga kugombana kwa kulazimisha kurudi kwenye maeneo Yao yaleyale waliyokuwa kabla ya kuvujiwa au kuondoka. Bila shaka maeneo Yao watakuta yanatumiwa na wale amabao wamegoma kuondoka na hakuna wanachofanywa.
Hii ni hatari kubwa sana kwa kiongozi yeyoye anaetoa maagizo yasiyosimamiwa. Rais Magufuli alitufundisha kusimamia maamuzi yako hata kama ulikosea kuamua.
Makaka wengi wa ccm ni wamachinga...na maeneo mengi ya wazi wanagawia makada wmwa vyama na kufanya vitega uchumi..mfano mzuri ni pale kibamba nyama..Lile ni eneo la TANROAD ambalo wazee wa chama walichukua na kuwagawia watu vizimba then wanapata mgao wao hapo.viongozi wa chama huko matawini ndio vinara wa kupora maeneo ya wazi, ndio maana walikuwa wanamchukia Bashiru na mwenyekiti wake kwa kudhibiti mali za chama. kama maRC hawatakuwa macho jitihada zao za kumuunga mkono Rais kwenye zoezi hili la usafi zitagonga mwamba. Hapa wanamjaribu Mama na wala sio Makala.
Kama atatokea mtu awahoji wamachinga wote lazima utafahamu ni nani amewapa kibali cha kufanya biashara kwenye eneo lisiloruhusiwa na kwa mashariti gani.
😍Hii inaonyesha kuwa hujawahi kutoka nje ya nchi hii, unadhani hivyo ndivyo inatakiwa iwe. HAPANa kaka sio kila mahali kunatakiwa kuuzwe nyanya kwenye meza, haiko hiyo duniani. Ukifanya hivyo huwezi kuzalisha walipakodi wakubwa, mtagawana umaskini kwenye kaya. Mipango miji ni muhimu sana
Hee hata kule mikocheni regent njia ya kwenda Kairuki kutokea Victoria, pale napo makada wamefanya Yao, watu wamekodishwa kuuza bia na mishikaki eneo la wazi, pesa yaenda mifukoniMakaka wengi wa ccm ni wamachinga...na maeneo mengi ya wazi wanagawia makada wmwa vyama na kufanya vitega uchumi..mfano mzuri ni pale kibamba nyama..Lile ni eneo la TANROAD ambalo wazee wa chama walichukua na kuwagawia watu vizimba then wanapata mgao wao hapo.
Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo:
1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na kununua bidhaa.
2. Waliohama maeneo kukosa wateja na kipato.
3. Waliohama kupata sonona.
4. Waliohama kuwaza kurudi pia kwenye maeneo Yao.
5. Serikali kudharaulika kwa kukurupuka.
6. Kuonyesha kuwa Kuna mvutano ndani ya Chama na serikali na ndani ya Chama na ndani ya serikali.
7. Wamachinga kugombana kwa kulazimisha kurudi kwenye maeneo Yao yaleyale waliyokuwa kabla ya kuvujiwa au kuondoka. Bila shaka maeneo Yao watakuta yanatumiwa na wale amabao wamegoma kuondoka na hakuna wanachofanywa.
Hii ni hatari kubwa sana kwa kiongozi yeyoye anaetoa maagizo yasiyosimamiwa. Rais Magufuli alitufundisha kusimamia maamuzi yako hata kama ulikosea kuamua.
Wamejitambua, unajua huwezi kupenda kwenda Ulaya na Marekani kusafi na kurudi kwako kukuta kuchafu sana. unashindwa hata kufagia na kuzoa taka.Arusha mji umeanza kua msafi sasa
Hii inaonyesha kuwa hujawahi kutoka nje ya nchi hii, unadhani hivyo ndivyo inatakiwa iwe. HAPANa kaka sio kila mahali kunatakiwa kuuzwe nyanya kwenye meza, haiko hiyo duniani. Ukifanya hivyo huwezi kuzalisha walipakodi wakubwa, mtagawana umaskini kwenye kaya. Mipango miji ni muhimu sana
Kashushwa cheo lini tena?Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo:
1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na kununua bidhaa.
2. Waliohama maeneo kukosa wateja na kipato.
3. Waliohama kupata sonona.
4. Waliohama kuwaza kurudi pia kwenye maeneo Yao.
5. Serikali kudharaulika kwa kukurupuka.
6. Kuonyesha kuwa Kuna mvutano ndani ya Chama na serikali na ndani ya Chama na ndani ya serikali.
7. Wamachinga kugombana kwa kulazimisha kurudi kwenye maeneo Yao yaleyale waliyokuwa kabla ya kuvujiwa au kuondoka. Bila shaka maeneo Yao watakuta yanatumiwa na wale amabao wamegoma kuondoka na hakuna wanachofanywa.
Hii ni hatari kubwa sana kwa kiongozi yeyoye anaetoa maagizo yasiyosimamiwa. Rais Magufuli alitufundisha kusimamia maamuzi yako hata kama ulikosea kuamua.
Wewe unaamini kijana kupanga chini fungu 4 za ngogwe kutamtoa kuliko kwenda kulima korosho, alizeti, mkonge, au michikichi? Mbona unawapotosha vijana kizembe? Unadhani kuwa umaskini wao utaondoka kwa kupanga dawa za mbu na mende kwenye njia za waenda kwa miguu? Kufikiria hivyo ni kukosa maarifa. Haiwezekani kila nyumba kwenye makazi Kuna genge la nyanya na vitunguu. Vitu hivyo lazima vikanunuliwe sokoni ambako ukaguzi unafanyika na ushuru unakusanywa.Kwa hiyo mazingira ya london ndo unataka ku apply hapa bongo, hivi akili za hivi huwa mnazitoa wapi!?.....unajua disparity iliyopo ya kiuchumi na standard ya maisha ya nchi zilizoendelea na hizi za ulimwengu wa tatu? walipa kodi wakubwa wapi hao unaowalenga ambao hawawezi kulipa kodi kisa wamachinga wapo mjini? unataka kuua watu wa kipato cha chini kwa kujenga uchumi wa matajiri? eti sijawahi kutoka nje ya nchi..........akili za kilaza kabisa hizi.
Mkuu hakuna nchi inayofanikiwa bila utaratibu...tunashindwa ata na Burundi kwenye milango miji..ukiacha Rwanda.. tukientatain uholela tutatengeneza Jakarta au Mumbai ingine ndani ya AfricaKwa hiyo mazingira ya london ndo unataka ku apply hapa bongo, hivi akili za hivi huwa mnazitoa wapi!?.....unajua disparity iliyopo ya kiuchumi na standard ya maisha ya nchi zilizoendelea na hizi za ulimwengu wa tatu? walipa kodi wakubwa wapi hao unaowalenga ambao hawawezi kulipa kodi kisa wamachinga wapo mjini? unataka kuua watu wa kipato cha chini kwa kujenga uchumi wa matajiri? eti sijawahi kutoka nje ya nchi..........akili za kilaza kabisa hizi.
Kuongezeka machinga ni tatizo la kisera, hasa sera mbovu zinazo address maswala ya kiuchumi, uwekezaji na elimu, uongozi usiowajibika kwa dhati kutatua changamoto za wananchi, wengi wapo kwa maslahi ya matumbo yao na familia zao, siasa za majitaka za kutafuta uungwaji mkono, so play your steps carefully.Wewe unaamini kijana kupanga chini fungu 4 za ngogwe kutamtoa kuliko kwenda kulima korosho, alizeti, mkonge, au michikichi? Mbona unawapotosha vijana kizembe? Unadhani kuwa umaskini wao utaondoka kwa kupanga dawa za mbu na mende kwenye njia za waenda kwa miguu? Kufikiria hivyo ni kukosa maarifa. Haiwezekani kila nyumba kwenye makazi Kuna genge la nyanya na vitunguu. Vitu hivyo lazima vikanunuliwe sokoni ambako ukaguzi unafanyika na ushuru unakusanywa.
Ni hatari sana kuona kila nyumba Kuna biashara na kila mtaa na uchochoro Kuna biashara. Biashara za hivi hazina udhibiti wa uboraKwa hiyo mazingira ya london ndo unataka ku apply hapa bongo, hivi akili za hivi huwa mnazitoa wapi!?.....unajua disparity iliyopo ya kiuchumi na standard ya maisha ya nchi zilizoendelea na hizi za ulimwengu wa tatu? walipa kodi wakubwa wapi hao unaowalenga ambao hawawezi kulipa kodi kisa wamachinga wapo mjini? unataka kuua watu wa kipato cha chini kwa kujenga uchumi wa matajiri? eti sijawahi kutoka nje ya nchi..........akili za kilaza kabisa hizi.
Wamachinga haikupaswa kuwa tatizo ya tanzania ambayo inafursa nyingi bado za kulima, kufuga, kuvua, kuchimba na biashara, tatizo liko kwa viongozi ambao waliachia vijana wajazane mitaani kufanya biashara kwenye maeneo ambayo yana matumizi mengine bila kuchukua hatua mapema. Lakini tunajua sababu hasa ya kutokuchukua hatua kumechagizwa na :Kuongezeka machinga ni tatizo la kisera, hasa sera mbovu zinazo address maswala ya kiuchumi, uwekezaji na elimu, uongozi usiowajibika kwa dhati kutatua changamoto za wananchi, wengi wapo kwa maslahi ya matumbo yao na familia zao, siasa za majitaka za kutafuta uungwaji mkono, so play your steps carefully.
Ndo mana mnaingia kwenye magari kupitia madiroshani!., watu wa kule wanaongea kwa sauti kwenye madaladala? Hamna kupambana samahani hata ukimkanyaga mwenzio.Mbagala hatutaki ujinga
Makala peke yake hawezi bila support kutoka juu na chini yake, Lushoto na kulia kwake. Kila mtaa una balozi wa nyumba 10, serikali za mtaa, kata, tarafa, na wilaya. Kwanini hawasaidi kudumisha usafi kwenye mtaa na maeneo Yao Hadi Rais na mkuu wa mkoa aende akaondoe wanaochafua mitaa Yao?Makalla naona kariakoo pamemshinda..mitaa ya katikati zile meza za mbele ya maduka na barabarani alizosema yeye mwenyewe watu wanauziana mamilioni zipo Kama kawaida...serikali imewashindwa au? Hii inaleta taswira tofauti hasa waliovunja kuona wenzao hawajarudi hata hatua moja nyuma kuvunja
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mazingira yanatofautiana lakini mahitaji (needs) yanafanana. Nchi zote zinahitaji kodi kutoka kwa wananchi wake kuendesha nchi, uchafu ni chanzo Cha magonjwa kote duniani, watu wanahitaji afya, usalama na uhuru bila kujali nchi Iko bara gani.Kwa hiyo mazingira ya london ndo unataka ku apply hapa bongo, hivi akili za hivi huwa mnazitoa wapi!?.....unajua disparity iliyopo ya kiuchumi na standard ya maisha ya nchi zilizoendelea na hizi za ulimwengu wa tatu? walipa kodi wakubwa wapi hao unaowalenga ambao hawawezi kulipa kodi kisa wamachinga wapo mjini? unataka kuua watu wa kipato cha chini kwa kujenga uchumi wa matajiri? eti sijawahi kutoka nje ya nchi..........akili za kilaza kabisa hizi.