DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

Hongera dc zainabu kwa ujumbe wako kwa wanapangani, mdogo mdogo wataelewa.
 
Mh Samwel Sitta Anaendeleaje Huko Ujeruman
Maana Mnaposema DC Mdogo Anapewaje Ajira Na Mkulu
 
Huyu dogo nliona siku hiyo wanamfukuza na mawe kijiweni hadi noma,
Naona anataka kujirudi kivingine...any ways thats creativity

ILA NYIMBO NI MBAYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Mbona wimbo mzuri tu.
 
Miaka hiyo kaitaja yeye Mkuu,sio sisi.
Mkuu kama mheshimiwa kasema yy ana miaa 23 basi kadanganya
Au alikuwa ana maana ya kusema ana 33!!
Nimeanza kumjua huyu anakuja ITV akiwa form 1 au 2 miaka ya mwisho ya 90
Hata sura hiyo siyo ya mtu mwenye miaka 23
Huyu kwa uhakika kabisa mheshimiwa ana ana zaidi ya 30
Naweza mtafuta mtu mmoja muhimu kwake ataniambia hadi tarehe aliyo zaliwa
 
huyu DC hawezi kuwa na miaka 23 jamani mbona tunadanganyana...
 




Wewe si ndiye ulio uleta huu uzi sasa unashangaa nini?
Wekeni na umri wa Wakuu wa Wilaya wengine.
 
Mdogo???? Anavunja lini ungo??
 
Eti mdogo hahahaaa hata watoto wa primary Wana umri mdogo ila mambo yao ni tabu
 
huyu DC hawezi kuwa na miaka 23 jamani mbona tunadanganyana...
yaan hapa ndo nachoka coz nikiwa form 3 yy alikuwa form five jangwan yaan tulikuwa tukienda kwenye debate yy na kikundi chake walikuwa wanajionaa balaaa and i remember alikuwa ana poem inaitwa sijui africa au child of africa sasa nina fanya kazi na nimemaliza chuo nina miaka kibao na alikuwa mbele yangu how com ana miaka 23????????????????????????????SMH
 
Huyo DC mdogo kiasi gani? Kaolewa au bado?
 
Naambiwa ana miaka 23, Lakini Umbo na Sura utafikiri wa miaka 35.

Akifikisha 30 sijui atakuwaje!

Ndio maana wengine hatupendi kutaja miaka yetu, tunaonekana Wazee kisura na kimaumbo kumbe kimiaka bado mabarobaro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…