DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

Mbona anajisifia hivyo? Kuna ishara za umaskini kuondoka huko Pangani? Au amefanya nini huko Pangani cha kustaajabisha?
 
haya mabachela mke huyo anatafuta mume..
 
Wasira alikuwa Waziri akiwa na miaka 25 tu, mtu ana miaka zaidi ya 30 anaitwa mdogo na watanzania tuna tabia ya kupunguza umri, hasa waliozaliwa kabla ya miaka ya 1980.
 
Mhh huyo kwa umri huo mungu amsaidie sana. Maana. Hapo alipo apge mazoez sana kutopata magonjwa ya moyo
 
Ngoja nianze kumtafuta... mke kabisa huyu..
 
Mbona anajisifia hivyo? Kuna ishara za umaskini kuondoka huko Pangani? Au amefanya nini huko Pangani cha kustaajabisha?
Mkuu pangani ilivyo inahitaji maombi sana. Kuna mama mmoja alikuwa Mbunge wa viti maalum anaitwa Amina Mwidau alijitahidi sana kuiinua Pangani.
[emoji117] Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso ni mdogo sana umri wake hauzidi miaka 30 na mkuu wa wilaya ya Pangani pia ni mdogo sana.
 
Naambiwa ana miaka 23, Lakini Umbo na Sura utafikiri wa miaka 35.

Akifikisha 30 sijui atakuwaje!

Ndio maana wengine hatupendi kutaja miaka yetu, tunaonekana Wazee kisura na kimaumbo kumbe kimiaka bado mabarobaro.
Uchochezi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1]
 
Pangani Pazuri Panavutia




 
Ni mdogo kiumri lakini maturity yake ni ya hali ya juu......Mabadiliko hayaji papo kwa papo....nimekuwepo Pangani kikazi nimemuona....anajitahidi sana.....ni msikivu na ana heshima sana,hadharau mtu....pia hafanyi mambo kwa kukurupuka! Ni aina ya viongozi wa mfano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…