DC Moshi awatolea uvivu Kilimanjaro Express, acheni wizi

Hilo gar nilipanda mara moja dar arusha.sipand tena. Now nakula chuma abood luxury. Kwanza kilimanjaro wana mahotel yao bei mbaya sana na migari yao sio mzizur
Abood ana dar to arusha? Jamaa ana gari mpya kwasasa ni bora abiria wakahamia abood. Nauli yeye anafanya ngapi?
 
Eti VIP! Ila bongo tuna vituko. Eti kuna mabasi yana madaraja ya luxury, semi-luxury. Luxury my foot!! Hivi walioweka haya madaraja wanaelewa maana ya luxury?! Kwanini isingekuwa tu daraja la kwanza, la pili, la tatu..?
VIP watu wanakuja kuuza machungwa na Korosho ndani ya Bus.Mziki unagunguliwa kama tupo Disco..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi hizi chuma si scania, kwanini boss asizikate zikawa malori akabadili biashara?
 

Kwani mzee Sawaya ndiye anayekatisha tiketi? Si kuwa mwizi hapo anajulikana ila mzee huyo ni soft target tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…