johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio akina cremia yaurusi ya leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
Hahahaaaa..... na tindo na yule mrangi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
Kwa hiyo hao ndio maadui wa maslahi yenu.Hahahaaaa..... na tindo na yule mrangi!
Kuna yule dada wa mbeya mwenye id ngumuHahahaaaa..... na tindo na yule mrangi!
Wamefura hatari baada ya mtwita kuwaingiza kingiAm sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo[emoji23][emoji23][emoji2]
Hao ndio chadema asilia!Kwa hiyo hao ndio maadui wa maslahi yenu.
Hahahaaaa! Ndio maana Gambo alisema UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!Nakubaliana naye, CCM Arusha imejaa wanafiki na machawa na wachumia tumbo kibao, ni watu fulani wanafiki wababishaji na mamisheni town wasio na kazi za kufanya wanasubiria dili tu.
Watu wanasahau kuna maisha baada ya siasa.Anakwambia waliofyeka kuna sehemu waliziachaacha, ana mpango wa kulimalizia, huyu jamaa koboko.
Kumbe aliyekuwa Mbunge wa Hai Mh. Freeman Mbowe alikuwa anawalisha waliomchagua sumu kwa kutiririsha Maji yenye sumu kutoka shambani kwake?Anakwambia waliofyeka kuna sehemu waliziachaacha, ana mpango wa kulimalizia, huyu jamaa koboko.
Bwashee taratiiibu fahamu zinakurudia 🤕Watu wanasahau kuna maisha baada ya siasa.
Hakuna mtu aliipenda CCM na kujitoa kwa jasho na damu kama Nape Nnauye!
Bwashee siasa siyo uadui!Bwashee taratiiibu fahamu zinakurudia 🤕