DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Wewe mbwa ukoo wangu haujawa maskini na ungekuwa tajiri hizo buku saba ungekuwa unazikataa
Wewe na ukoo wako ni masikini wakutupwa!

Hii lugha tu unayotumia hapa inaonesha ni jinsi gani ulivyo na stress za umasikini.

Sasa kuondoka kwa Sabaya hakuwezi kubadirisha chochote kwenye ukoo wako. Mtabaki masikini daima
 
Anayeutaja sana umasikin ndiyo yeye kinara wa umasikin
 
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.

Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji vinavyotumiwa na wananchi ndio maana DC aliyekuwepo kabla yake alifyeka lile shamba.

Ole Sabaya anasema amepokea hati ya Mahakama ya kulifunga kabisa shamba hilo ili kuwaponya wananchi.

Maendeleo hayana vyama!
Sasa akalifunge mbwa yule, Masai gani ana akili ya kijinga vile ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiboko ya kina mmawia
20210605_140638.png
 
Back
Top Bottom