DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

Kumbe aliyekuwa Mbunge wa Hai Mh. Freeman Mbowe alikuwa anawalisha waliomchagua sumu kwa kutiririsha Maji yenye sumu kutoka shambani kwake?

Kumbe angelipewa Urais enzi zile angeliangamiza Watanzania?

Alisikika mpita njia mmoja hivi miaka ya 2050.
Green house zinatiririssha Simu gani? Ulishawahi kuziona? Unajua zinavyotumika?
 
Unaapanic nini sasa?

Unafikiri kusimamishwa kwake kutaondoa umasikini unaotafuna ukoo wako?
Wewe mbwa ukoo wangu haujawa maskini na ungekuwa tajiri hizo buku saba ungekuwa unazikataa
 
Hivi alipovamia ile Hotel,huyu jamaa alikuwa ana force aende chumbani kwa msanii mmoja alifikia hotelini hapo,je ni nani huyo msanii

Ova
Atakuwa ni yule anayesali na akina Halima Mdee kule matembele ya pili mama Ruge!
 
Am sure @Erthrocyte ,tindo ,bak wamelala mda huu kama hawajui kwamba wanadozi kutoka kwa mh sana Lengai Ole Sabaya a.k.a kiboko ya wapinga maendeleo😂😂😃
Pole kwa wote mliounga mkono dhuluma.
 
Back
Top Bottom