DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

ndo ufuge katika shamba au eneo lako sasa mwenzako amepanda mahindi wewe unapeleka mifugo huoni kama sio sawa.!
 
Sema wabobgo wanajitoa Akili sana Toka Shaka awe DC hapa KILOSA mauaji ya wakulima na wafugaji yamepungua sana. Usikii mikikimikiki ya wakulima na wafugaji
 
Kulikuwa na vifo sana kwa mwaka vifo 15 Hadi 5 lakini Toka DC Shaka kuweka mikakati mizuri ya wakulima na wafugaji Sasa hakuna kifo hata kimoja Toka amekuwa DC hapa KILOSA tunajivunia sana Mkuu wa WILAYA yetu anaguswa na matatizo ya wananchi wake
 
Kwanza huyu Shaka amewezaje kuwa Mkuu wa Wilaya ktk nchi ya Tanganyika wakati yeye ni raia wa nchi ya Zanzibar???????????!!!????
 
Mleta taarifa inaonekana hajui anachokisema kuhusu Kilosa na mkoa wa Morogoro DC Shaka ndio amezuia mauaji ya wakulima na wafugaj kila Mwaka kulikuwa na mauaji 5-15 kati ya wakulima na wafugaji sasa ni Mwaka Hakuna kifo cha mfugaji Wala mkulima na hii imetokana na mpango Ya miaka 3 ya kupambana na migogoro kati ya wakulima na wafugaji, siku hizi mnyonge hanyongwi na haki yake anapata Shaka ni kiongozi anaendana na kasi Ya awamu hii Ya sita kwa kazi Nzuri anayoifanya Ndani Ya wilaya Yetu Ya kilosa hususa hapa kwetu Rudewa, Kilosa
 
WAKULIMA NA WAFUGAJI WAMSHUKURU DC SHAKA
 

Attachments

  • VID-20240327-WA0356(2).mp4
    9.8 MB
DC SHAKA AMVAA MWANAJESHI MSTAAFU ALIYETAKA KUSABABISHA UVUNJIFU WA AMANI KUPITIA MIGOGORO YA ARDHI. AMALIZA UTATA MGOGORO WA ARDHI MBEGESELA, ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, WANANCHI WAMSHUKURU NA KUMFANYIA MAOMBI.

Bonyeza Link hapo chini kutazama tukio lote..

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

#UdongoOnlineTv..


View: https://youtu.be/DprKMy056No?si=UU1b_G5RqiINXC60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…