DC Simalenga awasimamisha kazi viongozi wa vijiji tuhuma za wizi Songwe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Mkuu wa wilaya ya Songwe Simon Simalenga amewasimamisha kazi viongozi wote wa kijiji cha Saza ili kupisha uchunguzi kuhusu tuhuma za wizi wa makinikia ya dhahabu, utawala wa mabavu na kuminya uhuru wa wananchi kujieleza, malalamiko yaliyoibuliwa na wananchi kupitia vituo vya ITV/Radio One.

Simalenga ataitisha mkutano wa hadhara tarehe 4 Julai ili kuweka bayana matokeo ya uchunguzi huo baada ya kuthibitisha uhalali wa tuhuma hizo.
 
Niliwahi kuandika na kusema DED wa Songwe, Das, DT, na DC ni wapigaji na wameifanya wilaya ya Songwe shamba la bibi. Bado serikali haikusikia. Sikilizeni wananchi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…