DC Simalenga: Yule binti hakupigwa kama inavyosimuliwa, nilimpa warning. Nilitaka kumpiga nikamshika Mkono akaomba Msamaha!

Kumuadhibu ndio Kumpiga?

Hata polisi hapigi mtu kama adhabu

Ni mahakama pekee inayoweza kumtoa adhabu ya Viboko kwa kushauriana na daktari

Wanafunzi huchapwa na fimbo Maalum viganjani
Kwa hiyo ww watoto wako wakikoseaga huwa unawapeleka mahakamani kuwashitaki?
Simtetei Dc kwa alicho kifanya kwa sababu huyo aliye muadhibu sio mtoto wake wala sio mwalimu wake hivyo hakuwa na mamlaka ya kufanya alicho kifanya.

Lakini mzazi na mwalimu ana ruhusiwa kumuadhibu mtoto kwa viboko pale atakapo kosea ila iwe na kiasi sio kupiga piga tu.
 
Ndiyo maana tunapopaza sauti zetu kupinga uwepo wa hivi vyeo vya kipuuzi, muwe mnatuelewa.
 
Mtu anayeadhibu kwa Viboko ana Fikra za kitumwa na amepungukiwa ustaarabu
 
ona uwezo wa mdogo wa viongozi wetu yunaoletewa hajui hata kujitetea.ni bora angekaa kimya akasubiri kibarua kiote nyasi.
 
ujue tayari ameshaiendea familia na possibly kutaka aihonge pesa ili wanyamaze
 
Albert Mnali huyo alimpiga mwalimu.
 
Sijaiona hiyo clip lakin kwa attitude ya huyu jamaa huwa ni ya ovyo sana mara nyingi huonekana akiongea kwa kunyoosha nyoosha vidole huku akiwafokea watu wazima.
Karibu kila siku kwenye kipindi cha Nipashe Radio 1 hukosi taarifa inayomuhusu kutokea Songwe ila ukifuatilia nyingi zinahusu kugombezana, Mikwala mara kapiga marufuku hiki au kile mpaka nikajiuliza Ina maana hiyo wilaya hakuna mazuri yanayopaswa kuripotiwa? Au Mkuu wake kila siku yeye ni kugombana na wananchi wake!?
 
Acha ujuaji usio kuwa na maana.

Nchi pekee ambayo kuna sheria ya kutopiga mtoto barani Ulaya ni Wingereza tu hakuna nyingine.

Hata Marekani sheria inamruhusu mzazi kumuadhibu mtoto wake pale ana pokosea ila sijajua kwa upande wa shuleni.
Marekani kuna baadhi ya majimbo wanaruhusu corporal punishment shuleni kama sikosei ikiwemo Texas .

Kuadhibu kwa bakora ni kosa Marekani majimbo mengi sababu it is regarded kama form of physical violence abuse, ila ni ruksa kumuadhibu kwa namna nyingine ambayo haitadhuru mwili wake au kumkosesha haki za msingi za mtoto.
 
Umepanic sana Mkuu mpaka unakosea kila mahari kuandika.Tulia uchunguzi ufanyike,kama hukumpiga mwanafunzi utasalimika tu,otjerwise tunakufahamu kipaji chako cha uigizaji,hushindwa kitwist mambo wewe.
 
Ngoja niliweke sawa hili.. Huyu Samalenge ni miungoni mwa wale wa rainbow namjua vizuri tu
 
Nje ya mada, video/link iliotumwa hapa jf mbona kwangu huwa haifunguki?
Au kuna namna ya kuifungua?
Fungua JF kwa kutumia desktop mode,usitumie JF mobile app,itafunguka.
 
Mtu anayeadhibu kwa Viboko ana Fikra za kitumwa na amepungukiwa ustaarabu
Ww mtoto wako akikosea huwa una muadhibu kwa njia gani?

Msitake kuleta uzungu wa kipumbavu hapa.
 
Kama zipi hizo mkuu?
 
Ww mtoto wako akikosea huwa una muadhibu kwa njia gani?

Msitake kuleta uzungu wa kipumbavu hapa.
Hata Shuleni adhabu ziko aina kwa aina

Ni Matutusa ya Kitumwa tu yanayotumia bakora
 
Hivi majaliwa alipochapa walimu viboko raisialikuwa nani? Na alidanywa je?
 
Hata Shuleni adhabu ziko aina kwa aina

Ni Matutusa ya Kitumwa tu yanayotumia bakora
Jibu swali ww mtoto wako huwa akikosea huwa una mpa hadhabu gani ili ajutie kosa lake ?
Acha kujizungusha.

Wenda bila viboko ww ungekuwa kibaka kama sio jambazi kabisa lakini kiboko kilikurudisha kwenye mstari.

Yaani unaona bora mtoto apewe adhabu ya kufyeka uwanja mzima wa mpira au kusomba matofari 200 kuliko kupingwa viboko 5? kweli nimeamini CCM imejaa vilaza
 
Kumbe uko kisiasa

Sasa mbona mkitiwa adabu kwa kutandikwa risasi " miguuni" mnalalamika dunia nzima?
 
Wabongo mtu akiwa anajiamini anaitwa nunda. Mnahitaji nchi ya walamba viatu?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…