Anayo doto magari na chifu gudilakiHata hiyo hela ya kupiga nayo picha iko wapi ?
Watu masikini wakipewa madaraka ndivyo wanavyoliactigi hivyo..Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani.
Amesema "Mtu akipiga picha na mahela mengi kuonesha maisha ni rahisi namna hii kama ni wa Temeke kamata, hakuna hela uliyoitolea jasho ina majigambo, hela uliyotolea jasho inafichwa kama ambavyo Mtu hasemi nimepata mshahara"
Amesema hayo Julai 10, 2024 akiongea na wakazi wa Mbagala juu ya mmomonyoko wa maadili na matukio ya kiuhalifu. Akisistiza kuwa wanaopost za hela huwashawishi vijana kujihusisha na madawa ya kulevya au ushirikina.
Mkeka ujao anapandishwa kuwa RCHawa viongozi wajinga wajinga nikuendelea kuwashitaki na kuwadai fidia ili akili ziwakae sawa,hawajui sheria hata robo ila cha ajabu wamezungukwa na wataalamu wa kila idara za halmashauri
ππππFedheha kwa wangoni hii. Hatujamtuma asee.
Kupenda sifa za kijinga aonekane anafanya kaziSixtus Mapunda kishalewa madaraka
KumekuchaMkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani.
Amesema "Mtu akipiga picha na mahela mengi kuonesha maisha ni rahisi namna hii kama ni wa Temeke kamata, hakuna hela uliyoitolea jasho ina majigambo, hela uliyotolea jasho inafichwa kama ambavyo Mtu hasemi nimepata mshahara"
Amesema hayo Julai 10, 2024 akiongea na wakazi wa Mbagala juu ya mmomonyoko wa maadili na matukio ya kiuhalifu. Akisistiza kuwa wanaopost za hela huwashawishi vijana kujihusisha na madawa ya kulevya au ushirikina.
Tatozooo la.maji ameshatatua aiseeMkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani.
Amesema "Mtu akipiga picha na mahela mengi kuonesha maisha ni rahisi namna hii kama ni wa Temeke kamata, hakuna hela uliyoitolea jasho ina majigambo, hela uliyotolea jasho inafichwa kama ambavyo Mtu hasemi nimepata mshahara"
Amesema hayo Julai 10, 2024 akiongea na wakazi wa Mbagala juu ya mmomonyoko wa maadili na matukio ya kiuhalifu. Akisistiza kuwa wanaopost za hela huwashawishi vijana kujihusisha na madawa ya kulevya au ushirikina.
Kabisa.Huyo DC Itakuwa ana shida pahala
πππππAfya yake ya akili haipo sawa