DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

Huu ni ushetani anaofanya Sabaya tangu tupate uhuru sidhani kama tumepata mkuu wa wilaya wa ovyo kama Sabaya.

Aliyewapa hawa wahuni mamlaka nae alikua na tabia kama hizi ndo mana hata watu waliposema mabaya ya hawa vijana wake alikaa kimya.
 

Huyo Mshenzi atakuja kufanyiwa ya Dr Kleruuu na Mwamwindi.
 
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.

Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.


Hilo the so called "tatizo" unalo wewe kichwani mwako na sasa unataka utueleweshe sisi. HAPANA hilo ni tatizo lako usiwatishwe wengine, shughulika nalo mwenyewe!
 
Anastahili hukumu nzito sana.
Dizaini hii akirudi uraiani hatachukua mda raia watamtoa uhai, aidha hao aliowaonea au hao waliokuwa wakimtuma na kushirikiana naye kufanya haya matukio.
 
neno wanyonge tumeshalikkattaa limezikkwwa na mwendakkwao, wananchii wa Tanzania tunaahoji matendo mabaya ya sabaya
 
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.

Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.


Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.

Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.


Huyu dawa yake iko jikoni. Tunasubiri Mbowe amfungulie kesi ya madai ya kuvunja greenhouses zake. Mbowe alishinda kesi kuwa hakuwa anaharibu mazingira kama alivyodai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…