DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

MAGAIDI tunaishi nayo kabisa aisee,
 
Now amekuwa yatima mannina zake. Magufuli alikuwa analea sana type hizi na lile jinga lilovamia na bunduki usiku pale radio mawingu. Sasa ndio watajua yatima hadeki.
Bashite alisafiri na Cyprian Musiba, Le mutuz, Herry kisanduku , Nyaulingo kwenda kumshambulia Tundu lisu Dodoma kwa risasi huku wakimteka MO, msanii Roma na matukio mengine mengi
 
MAGAIDI tunaishi nayo kabisa aisee,
 
MAGAIDI tunaishi nayo kabisa aisee,
 
Now amekuwa yatima mannina zake. Magufuli alikuwa analea sana type hizi na lile jinga lilovamia na bunduki usiku pale radio mawingu. Sasa ndio watajua yatima hadeki.
Ingekuwa enzi za jiwe huyu angepewa ukuu wa mkoa!
 
Nimeangalia hizo footage, aiseeee binafsi huwez kunidhalilisha tena kwenye ardhi ya tanzania nilimozaliwa, huyo mshenzi hajaingia kwenye anga za watu, anaonea ambao ni waoga kupambana nae, laiti angeliingia kwenye anga za watu fulani huyu lazima apigwe shaba, hivi mama anaona hii takataka ya chato gang empire
 
Kama ni kweli huu ni zaidi ya umafia! How system nzima ilishindwa kuhandle swala dogo namna hii? Hivi hii nchi majabali kama Mzee Mahiga n.k wangeamua kuishi kibabe tungepona kweli? Why vijana wadogo wanatenda haya bila uoga?

Ngoja tusikie upande wa Sabaya pia.
 
Hiyo kampeni yenu yakuwaangusha baadhi ya viongozi waliowazibia mianya ya biashara zenu haramu imekwama.
Acha mawazo ya ******* wewe ! Nyie chato gang zama zenu zimekwisha, mnaenda kuanguka muda sio mrefu, ccrv zinaonesha kabisa unasema kampeni? Fala wewe
 
Mbowe huwa anampatia kumzungumzia huyu DC, Kwa ujumla hastahili kukaa kwenye ofisi ya Uma.
 
ukiona mbwa mkali ujue katumwa na bosi wake, period.
 
Hiyo kampeni yenu yakuwaangusha baadhi ya viongozi waliowazibia mianya ya biashara zenu haramu imekwama.
Kama ilivyokwama mitano ya nyongeza. mungu mtu wenu sasa hivi tumbo limeshapasuka. MUNGU SIO MEKO
 
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.

Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.


Hata akiachwa ni sawa tu.ila asipewe support na mama,atanyoooka
 
Kosa kubwa alilolifanya Mahiga na atakalolijutia milele ni kukubali kufanya kazi na serikali ya awamu ya 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…