Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahahahaah kama umesoma hicho kitambi tafadhali punguza matumizi ya chumvi na sukari hahahahaa nimekumbuka Mbali, Heri yangu sijasema
 
Je na lile jukumu lake aliloropoka ametenguliwa?
Au anakwrenda kuongeza nguvu porini baada ya kuonyesha kujiamini.
Mtekaji si amejulikana ama vp
 
Serikali inapoteza pesa na muda kwa wananchi kufanya uchaguzi.
CCM hawapendi watu waseme ukweli
Huyu DC amesema Ukweli mchungu sana.

CCM KUENDELEA KUBAKI MADARAKANI AU KUSHINDA KWENYE UCHAGUZI HAITEGEMEI KUPIGIWA KURA NA MTU YOYOTE YULE KATIKA UCHAGUZI WA SIASA HAPA NCHINI TANZANIA.

Aidha, katika Uchunguzi uliofanyika kwa kificho ulibaini kwamba wale Watu waliohusika kwenye Usimamizi wa Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania Mwaka 2020 walikuwa ni aidha Mawakala wa Siri wa TISS au Maaskari Polisi. Siku chache kabla ya Uchaguzi huo Watu hao Walikusanywa kwenye Makambi kwa ajili ya kupewa Mafunzo Maalumu ya Kuhujumu Uchaguzi huo ili kuipa Ushindi CCM.
Ma-DSO wote waliokuwepo walikabidhiwa jukumu naalym la kuratibu na Kusimamia Mpango huo.

Kwa wale Watu wengine waliohudhuria mapema kwenye Vituo vya Kupiga Kura siku ya Uchaguzi Mwaka huo wa 2020 nafikiri mtakuwa mashuhuda wazuri kwamba mliwakuta Vijana waliobeba mabegi kwenye vituo vya kupigia Kura, hao ndio w
 

2020 kulikuwa hakuna uchaguzi ,mimi kuna jamaa namjua kabisa yupo Kagera ni askari lakini jina lake nililiona kama mpiga kura wa zanzibar nikacheka sana ,kigogo2014 alitoa majina ya wapiga kura wa zanzibar pdf.
 
Ccm ukiwa mkweli kichwa kitaliwa tu

Msigwa na muoshambwa nafasi hiyo 1 wenu ateuliwe tumechoka kuona mkikitea chama afu hamkumbukwi kwa LO lote!
 
Hii hamjaiona?
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…