Mkuu 'Tindo', nilipo soma tu taarifa za huyu DC, mara hiyo hiyo nikakukumbuka wewe...; unajuwa sababu. Na huyu aliyo yasema ndiyo yanayo halalisha kwa kila hali ile nadharia yako; ya kutojihangaisha kwenda kupanga mstari. Katika hali ya namna hii, hata mimi sina hamu ya kwenda kufanya hivyo.Hata Iddy Amin tunamkumbuka.
Jeshi wameletewa Yutong za kutoshaNimekwazika Sanaa....hivi hamna uwezekano Jeshi langu Pendwa
πππNchii imeozaaa nimegundua. Tupambane na mambo mengine yanayowezekanaππ
Mkuu 'Tindo', nilipo soma tu taarifa za huyu DC, mara hiyo hiyo nikakukumbuka wewe...; unajuwa sababu. Na huyu aliyo yasema ndiyo yanayo halalisha kwa kila hali ile nadharia yako; ya kutojihangaisha kwenda kupanga mstari. Katika hali ya namna hii, hata mimi sina hamu ya kwenda kufanya hivyo.
Sasa nauliza: kwa nini hawa watu wame wadharau waTanzania kiasi hiki? Hawa wanao amua kubaki nyumbani kwa vile CCM na serikali yake wamekwisha maliza kazi ya kuwachagulia viongozi.
Yeye je amesahau kauli yake akiwa mgombea mwenza aliposema wananchi wapige kura wasipige CCM itashinda.Mh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Uza uza mali za Tanganyika Ina kishindo.....Hawa lopoki Bure ili watumbuliwe .......we will see...see hasa..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa!
Mie nafikiri mjinga ni Yule anaeiba na anaebariki wizi. DC kasema ambayo wananchi huwa tunayasemaπMh.Samia Suluhu Hassan Rais wetu bora asiyevumilia ujinga wa watendaji wake...
Sijaiona mkuu itupie kama unayo tuluke nayoiBado mchengerwa umeona video yake?
Kuna maswali mengi hapa.
Pamoja na mawakili kupeleka mashtaka juu ya kusimamiwa kwa uchaguzi na Wizara ya Mchengerwa; ambapo sasa ni wazi kwamba mkakati ulikuwa ni haya yaliyo elezwa na DC,... lakini maswali ni: Haya yote yanapo fanyika huko mitaani kwa wananchi, na huko huko pia wapo watu/viongozi wa CHADEMA wakiyaona yote haya!
CHADEMA wanasubiri hadi lini kuyafanya haya kuwa ni mambo muhimu ya kuwaeleza wananchi? CHADEMA wapo kimya kabisa kama muda wa kufanya hivyo bado, au tuseme kuwa siyo mambo ya muhimu kuyanyanyulia bango?
Hali hii inanishangaza sana mimi wakati huu kuhusu CHADEMA.
Kuna nini ndani ya chama hiki wakati huu 'critical' namna hii kwa nchi yetu?
Alikuwa na confidence sana. Kuongea maneno yale? Weekend?
Hajui PDF zinatokaga weekend usiku?
Sijaiona mkuu itupie kama unayo tuluke nayoi
Kiburi cha madarakaUkitafakari kwa karibu zaidi kuhusu jambo hili:
Hakuna wakati mzuri sana kuliko sasa kwa watu wa aina ya huyu bwana, kujitokeza mbele na kutoa mchango wao katika kulinusuru taifa hili na hili janga walilo panga hawa watu.
Binafsi sijui kwa nini huyu DC kaamua kuyasema haya mambo wazi wazi hivi wakati huu. Sijui kama ni kuropoka tu kwa mtu aliye pungukiwa akili (kama Nape Nnauye alivyo fanya)?
Kama kasukumwa na moyo wa kukataa uovu unao fanywa na serikali na chama anavyo vitumikia, mimi nitamsifu sana; na naomba na wengine wengi wajitokeze mbele kufanya hivyo. Kwani wakati mzuri ndio huu.
Ni ujinga mtupu kwenda kupiga kura, wataenda vijana ambao bado hawajajua nini kinaendeleaMimi sipigi kura sasa hivi
Kwahiyo wewe unafurahia wizi wa kura na utekajiMh. Rais wetu safiiiii sanaaa, excellent, hawa viongozi wanaoongea hovyo hovyo na kujiona Miungu watu, dawa yao ndio hiyo, piga chini haraka sana, wala hakuna kelele ni kufukuza kazi tu, safi kabisa πππ
Sasa hapa ndipo huwa napishana na wewe kila mara, na kila nikuliza maelezo huwa sipati.Kwenye ile nadharia yangu sikosei nisemacho. Hii hadaa watu wajitokeze kushiriki uchaguzi ni ili kupata watu wengi kwa ajili ya kuhadaa umma na dunia kuwa wako madarakani kwa ridhaa ya wananchi wengi. Lakini kuwa wataheshimu maamuzi ya wananchi hilo sahau, maana wako kwenye mlo, na hawako tayari kuachia kwa njia ya amani. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi wataendelea kupindisha matokea ya kweli.
Na "kiburi" kimejaa kweli kweli ndani ya CCM, toka juu kabisa hadi chini. Ni kama vile waTanzania ni mali yao, kama mifugo vile wanayo weza kufanya maamuzi yoyote wanayo taka wenyewe bila ya kuhojiwa na yeyote.Kiburi cha madaraka
Ulitaka kwa siku ya leo cdm wafanye nini?Kuna maswali mengi hapa.
Pamoja na mawakili kupeleka mashtaka juu ya kusimamiwa kwa uchaguzi na Wizara ya Mchengerwa; ambapo sasa ni wazi kwamba mkakati ulikuwa ni haya yaliyo elezwa na DC,... lakini maswali ni: Haya yote yanapo fanyika huko mitaani kwa wananchi, na huko huko pia wapo watu/viongozi wa CHADEMA wakiyaona yote haya!
CHADEMA wanasubiri hadi lini kuyafanya haya kuwa ni mambo muhimu ya kuwaeleza wananchi? CHADEMA wapo kimya kabisa kama muda wa kufanya hivyo bado, au tuseme kuwa siyo mambo ya muhimu kuyanyanyulia bango?
Hali hii inanishangaza sana mimi wakati huu kuhusu CHADEMA.
Kuna nini ndani ya chama hiki wakati huu 'critical' namna hii kwa nchi yetu?