Hapana, hujanielewa. Sijasema popote wafanye lolote kwa "siku ya leo, au kwa tukio hili". Nisome vizuri unielewe.Ulitaka kwa siku ya leo cdm wafanye nini?
Hii siyo kazi ya tukio moja au kazi ya siku moja. Tumekuwa tukihimiza maandalizi ya kuzuia haya tokea miaka mitano iliyo pita, lakini hatuoni juhudi zozote zikifanyika wakati wote huo; na mbaya zaidi, hata wakati huu wa majeruhi tukiingia kwenye chaguzi.
Ukiondoa ile Kesi iliyo funguliwa (sijui kama CHADEMA wanahusika huko) hakuna juhudi nyingine zozote zilizo andaliwa popote kuzuia yale yale ya miaka yote yasijirudie.
Labda kama ni siri. Je, wewe mkuu 'sengobad' unajuwa lolote kuhusu yanayo fanyika huko ndani ya chama kukabiriana na hali hii wanayo ilazimisha CCM?