okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,856
- 3,003
Pole Sana kwako na kwa mzazi wako pia.aloo kumbe!!! ndo mana huku mitaani vitoto vya kiislam vimejazana vingi kweli, na vyote huwa vimevalia ijabu na barakashee, jamaa wanangonoka sana, kila kukicha kazi yao ni kufyatua tuu yani mwendo wa kufyatua vitoto,
vitoto vidogo vinazidi kuongezeka na kurundikana mitaani na hali yenyewe ndo hii. Walau wangejaribu kushauriwa kuhusu uzazi wa mpango ingesaidia.