DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

Pole Sana kwako na kwa mzazi wako pia.
 
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel amewataka Watafiti kufanya utafiti kama kuna uwezekano wa kutumia ngozi ya kuku kuzalisha bidhaa mbalimbali za ngozi kama inavyofanyika kwa ngozi za ng’ombe, mbuzi n.k
Prof. Ole Gabriel ameyasema hayo wakati wa kuzindua mafunzo ya mnyororo wa thamani kwa Wadau wa ngozi Dar es Salaam.
“Kuku tunao Milioni 83.3 na wanataga mayai Bilioni 4 yenye thamani ya Tsh Bilioni 800, nguruwe tunao Milioni 2, ngozi, nyama na maziwa tukizitumia vizuri uchumi utakuwa, tusitupe kitu kwenye wanyama hata kwato, pembe, meno ya ng’ombe, mbuzi, kondoo hata punda yachangie uchumi”
 
Ngoja waje
 
Mihemko ya DC na kutaka sifa za kijinga!
Apunguze mihemko haijawai kumsaidia yeyote amuulize Bashite mwenzie kama bado haelewi somo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…