DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe.

Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi.
CI mahakamani na kudhalilishwa siku 3 mfululizo ni Kibatala itakuwa ni aibu kwa taifa, lakini majibu mazuri zaidi wanayo upande wa mashtaka.
Alitakiwa kuieleza mahakama ni kwa Nini alikubali mpango wa kuharibia maisha makomandoo watatu ambao walikuwa na kazi zao, warubuniwe na Urio kwamba Kuna kazi ya ulinzi VIP kumbe wanatumbukizwa shimoni na kubambikiwa ugaidi, kifupi bila Boaz kutoa ushahidi muunganiko wa kesi nzima unakosekana.
 
Kama kesi ikiendelea DCI Boaz ataletwa kupitia wakili wa utetezi..
Pia Sirro ataletwa.. Sabaya pamoja na Mwanasheria wa Serikali kujibu aliyosema Rais Samia BBC
Sheria ya wapi hiyo ndugu.sheria haiko hivyo
 
Likely, Yes...

Na mambo mengine ni huko Ubelgiji aliko Chief Hangaya kwa sasa na Tundu Lissu....

Wenye akili tunaelewa vizuri sana what's going on "behind the closed doors" si kwa kesi hii tu ya Mbowe bali kwa mambo mengi ya nchi yaliyoharibiwa na Mwendazake John Pombe Magufuli...!

Hiyo siyo "coincidence". Bali ni mpango mzima ulio kamili.
Hamna kitu kuhusu sijui ofisini au ubeligiji,
hii kesi imewashinda jamuhuri kwa facts, jamuhuri imebaki uchi.
Boaz amekwepa aibu.
 
Akili za sisiemu mnazijua au mnazisikia...

Tusubiri tar18 feb, 2022... Jaji atakuja na sarakasi na atashangaza wengi sana.
 
SSH yupo huko kwa wenye kapu Leo kakutana na Rais wa EU, miongoni mwa Maswali Magumu Ni Suala la Democrasia na kesi hii ya mchongo.
 
Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe.

Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi.

Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea taarifa kutoka kwa Luteni Urio, juu ya kuwepo mipango ya ugaidi, na yeye aliye andaa mpango kazi wa awali wa kesi hii. Boaz alitakiwa kuja kuieleza mahakama ni kwa jinsi gani aliiona hii kesi ni ya ugaidi, alitakiwa kuunga mkono ushahidi wa Urio na kuthibitisha kwamba kweli Urio alifika ofisini kwake, maana hapo Kuna utata mkubwa, alitakiwa kuieleza mahakama ni kwa Nini alikubali mpango wa kuharibia maisha makomandoo watatu ambao walikuwa na kazi zao, warubuniwe na Urio kwamba Kuna kazi ya ulinzi VIP kumbe wanatumbukizwa shimoni na kubambikiwa ugaidi, kifupi bila Boaz kutoa ushahidi muunganiko wa kesi nzima unakosekana.

Hii haijatokea kwa bahati mbaya, pengine hii kesi ni mchongo hivyo kumleta DCI mahakamani na kudhalilishwa siku 3 mfululizo ni Kibatala itakuwa ni aibu kwa taifa, lakini majibu mazuri zaidi wanayo upande wa mashtaka.
CCTV camera zingeharibu kila kitu. Kina Peter walikuwa nazo tayari....

Kongole sana kwa mawakili wasomi...
 
Sijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
Hapa ndiyo mwisho wa hii kesi!
Hivi, hao washtakiwa, ni kwa ushahidi upi uliotolewa, ambao hao washtakiwa inawabidi wajitetee?
Hiviiii, unajua maana ya UGAIDI?
Ugaidi unaosenwa hapa, ni hafifu kuliko hata ule aliouvumbua MWIGURU kwa RWAKATARE!
 
Sijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi 😀😀😀😀 hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
Sasa unacheka nini?
 
Back
Top Bottom