Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amestahafu huyo mdwanzi na juzi Kati alikuwa na sherehe pale kwake morogoro mitaa ya lukobe.Leo upande wa mashtaka umefunga ghafla kesi ya ugaidi inayowahusu washtakiwa wanne akiwemo Freeman Mbowe.
Katika hali ya kushangaza shahidi muhimu ambaye akitajwa karibu kila siku na mashahidi wa upande wa serikali DCI Boaz hajaitwa mahakamani kutoa ushahidi.
Ikumbukwe huyu ndiye aliyepokea taarifa kutoka kwa Luteni Urio, juu ya kuwepo mipango ya ugaidi, na yeye aliye andaa mpango kazi wa awali wa kesi hii. Boaz alitakiwa kuja kuieleza mahakama ni kwa jinsi gani aliiona hii kesi ni ya ugaidi, alitakiwa kuunga mkono ushahidi wa Urio na kuthibitisha kwamba kweli Urio alifika ofisini kwake, maana hapo Kuna utata mkubwa, alitakiwa kuieleza mahakama ni kwa Nini alikubali mpango wa kuharibia maisha makomandoo watatu ambao walikuwa na kazi zao, warubuniwe na Urio kwamba Kuna kazi ya ulinzi VIP kumbe wanatumbukizwa shimoni na kubambikiwa ugaidi, kifupi bila Boaz kutoa ushahidi muunganiko wa kesi nzima unakosekana.
Hii haijatokea kwa bahati mbaya, pengine hii kesi ni mchongo hivyo kumleta DCI mahakamani na kudhalilishwa siku 3 mfululizo ni Kibatala itakuwa ni aibu kwa taifa, lakini majibu mazuri zaidi wanayo upande wa mashtaka.
We fala kweli. Possible itakuwa unaliwa kibogaSijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
Tarehe ikifika utasikia judge amehairisha had tarehe 21Kama Jaji akijifanya hamnazo na akaamua kuwa hawa watu wanne "WANA KESI YA KUJIBU"...
Basi, iwe isiwe, wote waliokwepa kuja kutoa ushahidi kuthibitisha makosa ya washitakiwa kama waleta mashitaka [Jamhuri], then wajiandae kuwa mashahidi wa upande wa utetezi....
That means, hawajakikwepa kizimba cha mahakama. Na hata chief Hangaya kupitia kwa AG wake ajiandae kuja kujibu maswali kizimbani....
Mpaka hapo, one can easily predict what would be maamuzi sahihi ya Jaji Tiganga siku ya Ijumaa tarehe 18/2/2022 yatakuwaje...
To cut it short, ni kuwa, THE GAME IS OVER....!!
Hivi mnapozungumzia "umma" huwa mnamaanisha nini aisee, huenda mie sielewi, ni huu umma unaomtukana JPM kila uchao mitandaoni? embu nendeni site mkamtukane ndo mjue nini maana ya umma.
Bado anakuchapa hata baada ya kufa?Site gani, kila siku tunampa vipande vyake huko mtaani na hukuna yoyote anatugusa. Labda umma kwako ni kwenye ofisi za CCM.
Jidanganye!Yaani bado polisi wetu wana mambo ya kizamani, bado huwa wanabambikia watu madawa ya kulevya. Ndio maana hata ushahidi wa madawa ya kulevya hautolewi tena huko mahakamani maana ni upuuzi wa hali ya juu.
Jidanganye!
.
Mbowe anakula mvua 30 na hamna kitu mtafanya
Kuna washitakiwa watatu nje ya Mbowe. Nao waliitwa 'kuyamaliza'?Ukweli ni kwamba baada ya Mbowe juzi kwenda pekee yake ofisi ya jaji pamoja na mawakili wa pande zote ndio hii kesi ilipoenda kumalizwa!!!
Yaani umeongea kama unamkomesha mtoa post na si uhalisia..!! Kifupi umefuka moshi wa kuni mbichiJidanganye!
.
Mbowe anakula mvua 30 na hamna kitu mtafanya
Anapigwa miaka 030 michache sana, apigwe 60 kabisa, lakini haipunguzi ukweli kuwa hiyo kesi ni matokeo ya siasa chafu za dhalimu.
HaswaKweni Kibatala ni mtoto wa Dr Kibatala aliyewahi kuwa St Francis Ifakara?
Labda wameshituka mashahidi wao waliobaki ni wepesi kama pamba hivyo kuwaepusha na fadhaa ya kuja kuumbuka mahakamani.Wamejikuta hawana mashahidi
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Sijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
AiseeSijui kwanini tunakubali kuhadaika kiurahisi hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hiyo kesi haiwezi kuisha kiurahisi hivyo mark my words hawa watu watafungwa tu ingawaje ni ukweli mchungu ila watafungwa hii kesi imekaa vibaya hawawezi tumia gharama kubwa then wawaachie kiurahisi hivyo
Jaji aliuliza mnataka rais mwinyi aje mahakamani?Sheria ya wapi hiyo ndugu.sheria haiko hivyo