DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Alitakiwa kuieleza mahakama ni kwa Nini alikubali mpango wa kuharibia maisha makomandoo watatu ambao walikuwa na kazi zao, warubuniwe na Urio kwamba Kuna kazi ya ulinzi VIP kumbe wanatumbukizwa shimoni na kubambikiwa ugaidi, kifupi bila Boaz kutoa ushahidi muunganiko wa kesi nzima unakosekana.
 
Kama kesi ikiendelea DCI Boaz ataletwa kupitia wakili wa utetezi..
Pia Sirro ataletwa.. Sabaya pamoja na Mwanasheria wa Serikali kujibu aliyosema Rais Samia BBC
Sheria ya wapi hiyo ndugu.sheria haiko hivyo
 
Hamna kitu kuhusu sijui ofisini au ubeligiji,
hii kesi imewashinda jamuhuri kwa facts, jamuhuri imebaki uchi.
Boaz amekwepa aibu.
 
Akili za sisiemu mnazijua au mnazisikia...

Tusubiri tar18 feb, 2022... Jaji atakuja na sarakasi na atashangaza wengi sana.
 
SSH yupo huko kwa wenye kapu Leo kakutana na Rais wa EU, miongoni mwa Maswali Magumu Ni Suala la Democrasia na kesi hii ya mchongo.
 
CCTV camera zingeharibu kila kitu. Kina Peter walikuwa nazo tayari....

Kongole sana kwa mawakili wasomi...
 
Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndiyo mwisho wa hii kesi!
Hivi, hao washtakiwa, ni kwa ushahidi upi uliotolewa, ambao hao washtakiwa inawabidi wajitetee?
Hiviiii, unajua maana ya UGAIDI?
Ugaidi unaosenwa hapa, ni hafifu kuliko hata ule aliouvumbua MWIGURU kwa RWAKATARE!
 
Sasa unacheka nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…