Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Nawee usimuombee uchi wake huyo mwanamke, kila mtu abaki nq chakee.

Afu huna helaa weyeee, em endelea kujitafutaaa.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wala hauna uwezo wa kumtisha mtu yoyote, lazima uambiwe ukweli mchungu ili ujinga ukutoke kichwani
Wewe utakua ni mtoto wa zinaa au wa kahaba bila shaka,hizi nguvu zitumie kukomaa na mamako ili japo akuonyeshe umjue babako.
 
Na nyie ambao hamjaoa mkapate tumbua makwenu, hao wanaowaomba mmewafata nini kuwaomba vyao kwanini wao wasiwaombe?

Kama kuna mtu aliombwa pasipo kuomba huyo ni halali kulalama tofauti na hapo kila mtu akaombe kwaooooo
Kwenye mchakato wa kuichapa tunagharamia

Ila baada ya hapo asinitafute sijui dear baby nina shida fulani

HATUTAKI
 
Kwenye mchakato wa kuichapa tunagharamia

Ila baada ya hapo asinitafute sijui dear baby nina shida fulani

HATUTAKI
Hapo ngoma droo, sasa wenzioa wataka wale wasipogharamika ndo na sie tutawaambia waende kula kwao
 
Wazee wa hivyo, walishajitafuta wakapata.
Wameshajenga, wameshasomesha.

Vijana wengi bado tunatafuta.
Umesema sahihi Mkuu

Wengi wa Wazee wa Umri huo unakuta anakula pension yake huku anatafuta Binti wa kumtoa upweke tu
 
Nawee usimuombee uchi wake huyo mwanamke, kila mtu abaki nq chakee.

Afu huna helaa weyeee, em endelea kujitafutaaa.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ili useme mtu ana hela nikiasi gani hicho?. Au inatakiwa awe na angalau pato la shillingi ngapi kwa mwezi?.
 
Umesema sahihi Mkuu

Wengi wa Wazee wa Umri huo unakuta anakula pension yake huku anatafuta Binti wa kumtoa upweke tu
uzuri gari bovu huvutwa na jipya zima

ni wakati wetu mabinti wabichi warembo kutushika mkono mzee mwenzangu
 
Nje ya camera umelizwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…