Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Kama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
 
Hawa sasa ni wadada ambao hawajiheshimu mkuu mdada kama huyu ni kukaa nae chini na kumwambia makavu live hiyo tabia ninya ukahabaaa
Hawa ndio wale ambao wanakuambia chake ni chake, lakini chako wewe pia ni chake. πŸ˜ƒ

Mwanamke nikishapiga hawezi nisumbua, ataziona rangi zangu zote.
 
Daaah aiseee πŸ˜‚
 
Hela sio kwamba hatuna tunazo lakini sio zakumpa mwanamke, tunaandaa kesho yetu. Tukiwa na wake tutahudumia familia lakini sio hawa mbuzi.
 
Eti kwani Mimi nani yako πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Yaani ndo mana unakuta watu kila siku kuumwa magonjwa ya akili kumbe ni hawa hawa wanasababisha aiseeee.....

Sema kua mkaksi yahitaji moyo wa chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…