Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ephen_ usijikaushe mkuu na wewe ni wale wale ni vile tuu ushahidi wa kukutia hatiani haujawasili😂😂😂Kuna demu tumegombana kama week mbili jana nimeamka nakuta mis call kama zote......kumpigia piga story akaanza utapeli wa amenimic mara anipigie video call....badae katikati ya story akanichomekea kirungu....nikacheka nikamwambia hiyo pesa ninayo lakini sikupi akajichekesha akakata simu ajanicheki tena
Kashakula 15k zangu na vifurushi vya kutosha ila jana hakutegemea .....Yahn jitu hatujawasiliana week mbili linanitafuta kumbe linataka hela.
Tuko pamoja. Ngono ni shughuli ya kibiolojia siyo ya kifedha.Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela
1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!
2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!
View attachment 3078610
Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo.
View attachment 3078613
Dear baby, hela zangu zipo kwa ajili ya kesho yangu ila sio kukuhonga wewe..!!!
I save for my business and not for the Blow J service you provide...!!!
I save for my future and not for pus*y service you provide...!!!
UZI TAYARI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Si heri wangeomba hela kwasababu ya sababu ulizotaja hapo juu, wadada wengi wanaoomba hela sababu wanataka kumkomoa mwanaume aliewatongoza DR HAYA LANDUnbidi ujue kwanini anaomba omba tena hela ndogo
Je
She is broke (amefulia)
Hana Kazi (jobless)
Anaumwa (she is sick)
Amepata dharula (Emergency issue)
Au kuomba ndo tabia yake if yes unaweza kumnyima na kumfundisha njia za yeye kuishi pasipo kuwa omba omba
Maana ukimpiga chini bila kumfundisha namna gani aishi , utakuwa haujamsaidia.
Reasonable doubt ✊🏿
Aisee Acha kabisa, Acha kabisa sema tatizo la umaskini kwa baadhi ya wanufaika nadhani ni la kuzaliwa nalo, kuna mmoja nilimpa kila nilichoweza ila baaado.......Na hatupigi makelele.
Godfather mwenyewe aliagiza tukae nao kwa akili asee😂😂😂Aisee Acha kabisa, Acha kabisa sema tatizo la umaskini kwa baadhi ya wanufaika nadhani ni la kuzaliwa nalo, kuna mmoja nilimpa kila nilichoweza ila baaado.......
Shida wadada wengi mnaotuomba hela, mnatuomba kwa nia ya kutukomoa, mm nshashuhudia my female co-worker akimshauri rafiki yake wa kike amuombe bwana wake mpya aliekutana nae sh laki 1, imagine, na huyo anaeshauriwa hivyo hakuwa hata na shida ya hela Bantu LadyKama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
Wadada wengi mnatuomba hela kwa nia ya kutukomoa ndo maana hatuwapi, (mnawaza huyu mwanaume hanivutii sio handsome, ngoja nimchune) ila kuna baadhi ya wadada anavyoku treat tu hata million 1 unampa ephen_Kama huna unasema sina
Kumpa mtu hela sio lazima awe mchumba yeyote mwenye uwezo unamsaidia
Hawa ni wachoyo na roho mbaya zimewajaa
Unamwambia mtu unampenda halafu anakosa chakula unashindwa kumnunulia na hela unayo.
Na ndo wanaume wengi siku hizi tunajifunza kufanya hivyo, case in point USA na china, juzi nliona YouTube wanawake wengi china wanalalamika wanaume wengi hawatongozi, hata wakitongoza hawa- pursue kwa mda mrefu, mtu akiambiwa no Moja ni kwaheri Bantu LadyWapi nimesema hamna hela? Soma vizuri uelewe. Nimesema kama hutaki kumpa si usimtongoze, atapata kwa wanaotoa. Baki na chululu yako naye abaki na kitumbua chake. Case closed.
Nyie hamna baya wenye baya ni wale omba omba wasio na adabu halafu wao wakiombwa wanatupigia makelele kwa tarumbeta
Kumbe upo Dom ??niko huku down town 😃😃
Na nyie ambao hamjaoa mkapate tumbua makwenu, hao wanaowaomba mmewafata nini kuwaomba vyao kwanini wao wasiwaombe?Ni jukumu la baba kumhudumia binti yake ambaye hajaolewa
Usijipe umuhimu kwenye majukumu yasiyokuhusu
Wala hauna uwezo wa kumtisha mtu yoyote, lazima uambiwe ukweli mchungu ili ujinga ukutoke kichwaniChunga sana lugha yako unaponiquote comment zangu,nakuspare kwa heshima ya huu uzi tu,coz hua siwalei wanaonivunjia heshima kwa lugha ya kudhalilisha,
Another day,somewhere else.
Wazee wa hivyo, walishajitafuta wakapata.Kupitia huu Uzi nimejua kwanini Wazee tunahitaji tupewe Ulinzi, maana wakati Vijana wanalalamika kuombwa hizo 30k wakati huo huo Wazee huwapa Kadi kabisa za ATM mabinti wakatoe hela za kutumia 🙌
NB: Wazee nao walikuwa Vijana 🤗