Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Wewe baki kwenye uanaume izo mambo za kujilinganisha na mwanamke jinsi anavyo para pesa zinaweza kufanya ukataka kua kama wao
Ongezaaa sautiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nje ya camera umelizwa!
Screenshot_20240921-073351.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hakika ni mgogoro, kuepuka migogoro ya hivi ni kuachana tu na wanawake.....

Kuna papai lililoiva
Kuna kimfuko unaweka nzi ndani yake
Kuna sabuni za magadi povu kilo kumi
Kuna dear mkono

Aaahhh kwanini usumbuke

Screenshot_20240921-073351.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
Screenshot_20240921-073351.jpg


#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuna minamke mingine bhana et sasa huyu kijana hela zake anazifaidi nani!? Iliniuma kishenzi kiufupi hata kula jero yangu ninkazi ,usikubali kuwa chuma ulete kwa mwanamke ambaye hana fyucha
 
Back
Top Bottom