Mr Sir1
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,749
- 7,945
Naelewa maana mvaa Large hawezi kutoshea Medium sasa kwa vile wewe XXXXXXL lazima utafute kilicho size yako, bwawa mwenzie kisiki.Bahati mbaya situmii vishungi vya sigara, so… No thank you.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa maana mvaa Large hawezi kutoshea Medium sasa kwa vile wewe XXXXXXL lazima utafute kilicho size yako, bwawa mwenzie kisiki.Bahati mbaya situmii vishungi vya sigara, so… No thank you.
Naam, kheri umejijua kwamba wewe bado ni Mvulana. AhsanteNaelewa maana mvaa Large hawezi kutoshea Medium sasa kwa vile wewe XXXXXXL lazima utafute kilicho size yako, bwawa mwenzie kisiki.
Mafala yanapigwa halafu yanajifanya gentlemen.Kanuni ni moja, usimuonee huruma mwanamke, matapeli yamejaa kila kona!
Ongezaaa sautiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe baki kwenye uanaume izo mambo za kujilinganisha na mwanamke jinsi anavyo para pesa zinaweza kufanya ukataka kua kama wao
Jibu meseji hizo mwambie huna pesa kama anakupenda atakuelewa na atakuvumilia
Malalamiko yako wapi?Kaka, wewe Ni mwanaume wa type gani unae lalamika mara nyingi hivi kuhusu wanawake ?
Hakika ni mgogoro, kuepuka migogoro ya hivi ni kuachana tu na wanawake.....
Kuna papai lililoiva
Kuna kimfuko unaweka nzi ndani yake
Kuna sabuni za magadi povu kilo kumi
Kuna dear mkono
Aaahhh kwanini usumbuke
Kama hutaki kutumia hela yako kwa mwanamke, kwanini uwe na huyo mwanamke. Hapo ameomba umsaidie. Ndiyo mwanamke uliyemchagua. Hutaki subiri ukioa, shida iko wapi?
Mnakuja kuwaanika watoto wa watu kila siku, hela, hela ukiombwa mamilioni si utatangaza kwenye TV kabisa. Acheni hizo
Naomba basi namie unitumie ya kula dia wangu, i love u.....
Kwani hiyo tamu inauzwa bei gani ili tubagain kabisaShikilia vizuri, kelele zote hapo kaombwa 30 tu, wakati wenyewe wanawaomba tamu zao
Naona mleta mada kala ban,sijui kwanini,
Kama akirudi naomba afikishiwe ujumbe kwamba,nahitaji namba ya huyo Demu wake ili mimi nimpe hiyo 30k
Baada ya kumwambia SINA HELANaomba basi namie unitumie ya kula dia wangu, i love u.....
Kwani ni lazima upewe hela c utafute yakoHalafu wenzake wanamsupport! Najiuliza hawa wanaotupa hela ni wanaume wanatoka Kenya au Uganda?🤔
🤣🤣🤣🤣 huwa mnakutana chupa na mfuniko hadi raha......Baada ya kumwambia SINA HELA
👇👇👇
View attachment 3101712
Sijui alikuwa anakuja KUUZA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hela inatafutwa na ina mikakati sio kitu inapatikana kirahic rahisi ila k ipo available muda wote na Mungu aliwapa bureNa nyie hela ni kitu ya kutunyima kweli mtupe tuwape