Dear Men....

Mwanaume anejitambua kabisa hawezi akakaa na mwanamke asimpe hata elfu 10 ya salon. Mwanaume anaeogopa kuhudumia mwanamke wake ipo siku atatunzwa yeye na akiachwa kutunzwa na wanawake atatunzwa na wanaume wenzie maana neno kuhudumia patna halitaki
Hataki kuhudumia atahudumiwa tu[emoji2] [emoji2] maana si anaona siye twafaidi!
 
Etiii. Anataka mtoto mzuri mwenye maisha yake ila kulipia hata umeme anasema mwanamke anapenda pesa
Na amekukuta mwenyewe uko poa kabisaa..anashindwaje kujiongeza?

Ifike mahali wakaka wajitambue tu,kunhudumia mwanamke sio kosa ila mpe kulingana na mahitaji yake
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ameeeen!!!!wanajifanya kuruka ruka km maharage chunguni!
Sema wanaume wa humu tu ndo naonaga wanapinga jambo la sio kila mwanamke yupo kwa ajili yako linapokuja suala la matumizi. Wengine wanatakiwa wawaone wameze mate wapite
 
Sema wanaume wa humu tu ndo naonaga wanapinga jambo la sio kila mwanamke yupo kwa ajili yako linapokuja suala la matumizi. Wengine wanatakiwa wawaone wameze mate wapite
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kifalaa..

Hata humu wapo wanaojitambua sio wote watata na husikii wakipiga makelele!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kifalaa..

Hata humu wapo wanaojitambua sio wote watata na husikii wakipiga makelele!
Wapo jamani. Tena wapo. Na ni wapole wala hawanaga kelele. [emoji3][emoji3]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kifalaa..

Hata humu wapo wanaojitambua sio wote watata na husikii wakipiga makelele!
Hao wapiga kelele unadhani huwa hawahudumii wanawake zao? Wanawahudumia sana tuu sema wakiingia jf wanajifanya vidume vya kukata na shoka.

Ukisoma comment ya mtu unajua kabisa huyu ana stress za kukwanguliwa pesa na wanawake zake, sema tuu hana ujanja wa kuchomoka huko anabaki kumalizia hasira kwenye maandishi.
 
Kweli kabisa. Wanaolalamika wanakwanguliwa ile ile wakija huku wanajitia mimi mwanamke konyo konyo kumbe akitoka hapo anatoa kama kawaida huku anachuuza wenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…