"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

wengine hatuoni kama ni kuhongwa, tunaona kama ni kuhudumiwa! yap mie nilikuwa nahudumiwa na naendelea kuhudumiwa, nani anihudumie zaidi ya anipendae?

Unapotaka elf 80,una tofati gani na dada poa?
 
wee usipege mayowe...kama huna tulia bench wapo wanaume wanatoa na kumgegeda kwa raha zao
Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.
 
huna true love
wanawake 3 wa nini? wacha uchunwe hadi soksi!

camon Smile wapi nimesema nina wanawake 3,it might be mizinga 3 from same person
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
Hahahaahahahaahah! umenifanya nicheke sana, yaani pesa hiyo kidogo sana nafikiri ni ya perfume na Pedy , je angekwambia anahitaji usafiri kwa sababu kachoka kutembea na kupanda mabasi ingekuwaje? na je wakati anakupa zile raha mpk unaondoa stress zako zooote, umesahau? kuwa muungwana acha hizo. Nimeamini kweli kuhonga kipaji.
 
kuna tofauti kati ya kupenda na kutumika/kupretend, kuna mwanaume anaweza kukuingiza kingi ukajua huyu ndio mwanaume, upendo wa binadamu ni mpana, huyo anaependa kishenzi hawezi kulalama elfu 80, kuna wale ambao wakiombwa hawana na wanaeleweka kwamba hawana na wakiwa nayo unawajua wanayo na wanakupa,huyo hajakutana na anaempenda, mwanaume akupende kwa dhati, awe na future na wewe then kukutunza/kuhudumia inapobidi iwe ishu? awe mbahili kwangu? sijakutanaga na wanaume wa hivyo mie, sijui ni wa wapi hao, hahahahaha, mie siiiti kuhongwa, nilikuwa nahudumiwa/natuzwa, walikuwa sio niwaombe bali walikuwa wanajua wajibu wao.
mmmh maisha tu
 
Comments zako zina reflect what kind of a girl u 're,Ume jijengea mwanamke lazima apewe
hela,kwako wewe Money=>Love=>Sex, Uwe unalipa na kodi basi
au halalisha iyo business

umejuaje kama silipi kodi? umejuaje kama hii biznee sio halali?
 
Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.

ah hawa nawashanga sana wanalalamika nini....mie full shangwe nipige mzinga tuu ila ujue nitakugegeda alafu hatujuani. wanawake wamerahisisha sana mambo...yaani full utamu kwa raha zako alafu hamna kujuana
 
umejuaje kama silipi kodi? umejuaje kama hii biznee sio halali?

Stop that habbit ndio maana mnakuwa cheap commodity,
mtu akipata vijisenti ananyanyua mkonga wa simu,unatafunwa unapewa hivyo vijisenti
na majina kibao...demu wa mizinga,kicheche n.k,wapi thamani yako hapo.
 
WANAWAKE WANA GHARAMA WAKUU! HEBU CHEKI HAPA.......
Kila kiungo chao kinahitaji fedha:
Nywele zinataka Dawa.
Mackio yanataka Hereni.
Macho yanataka Wanja na Shedow.
Pua inataka Kipin.
Mdomo unataka Lipstic.
Uso unataka Poda na Foundation.
Shingo inataka chen.
Matiti yanataka Sidiria.
Mikono inataka Bangili.
Vidole vinataka pete.
Kiuno kinataka shanga.
------ yanataka ch*pi.
Miguu inataka hina na kiatu.
Ma**uz yanataka wembe.
K.... inataka always.
WAHURUMIE WEWE UNAYEWAT**MBA BURE.
 
Unapotaka elf 80,una tofati gani na dada poa?

kha, wewe! umeshawahi kupenda? ni wako una future nae/unampenda kwa dhati? amepata ishu na 80elfu atakuwa dada poa? akipewa huko hamuishi kuja kulalama hapa ohhh hawajatullia, ohhh ahhh, hamuwatulizi, mbona mie sio ishu kwangu kukupa hiyo 80 ukihiitaji?
 
Stop that habbit ndio maana mnakuwa cheap commodity,
mtu akipata vijisenti ananyanyua mkonga wa simu,unatafunwa unapewa hivyo vijisenti
na majina kibao...demu wa mizinga,kicheche n.k,wapi thamani yako hapo.

kwani ukiniita kicheche, demu wa mizinga nakufa???
na sio lazma nikipiga mzinga nitoe mchezo weyeeeeee
 
WANAWAKE WANA GHARAMA WAKUU! HEBU CHEKI HAPA.......
Kila kiungo chao kinahitaji fedha:
Nywele zinataka Dawa.
Mackio yanataka Hereni.
Macho yanataka Wanja na Shedow.
Pua inataka Kipin.
Mdomo unataka Lipstic.
Uso unataka Poda na Foundation.
Shingo inataka chen.
Matiti yanataka Sidiria.
Mikono inataka Bangili.
Vidole vinataka pete.
Kiuno kinataka shanga.
------ yanataka ch*pi.
Miguu inataka hina na kiatu.
Ma**uz yanataka wembe.
K.... inataka always.
WAHURUMIE WEWE UNAYEWAT**MBA BURE.

ha ha ha ha umenichekesha we mutuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
 
ukielewa definition ya kuhonga aya mambo hayakupi shida wakati unatoa izo hela lkn kama unajifanya huelewi definition yake basi kuna siku utakuja honga itakuuma adi ulale mapema.
 
Stop that habbit ndio maana mnakuwa cheap commodity,
mtu akipata vijisenti ananyanyua mkonga wa simu,unatafunwa unapewa hivyo vijisenti
na majina kibao...demu wa mizinga,kicheche n.k,wapi thamani yako hapo.
mpenzi wako ana hasara mbona..
 
MKATA KIU ungekuwa huna mchumba ningejipendekezaje kwakooo
mie nashangaa sana mie na baby wangu akitaka milioni nampa nikitaka milioni 2 ananipa tena hatuna hata sababu
he he he simuachii ng'ooo mtu hela hata dinner serena haitoshi analalamika
mfyoooo ukija kwa amu ujue ndo hivyo nakusaidia unanisaidia
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Aliyezoea vya kunyongwa...vya kuchinja haviwezi!!
 
Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry:

Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...

teh teh teh teh.....na atm card utakabidhi sasa.
 
Back
Top Bottom