Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Sass wewe ni nani? Makonda anajulikana kuwa ni Kiongozi wa kitaifa. Hatuwezi kushindanisha samaki papa na dagaa mchele.
 
😆😆😆😆

Anatafutwa sponsa tu.


Miaka ya nyuma hii purukushani ingefanyika pale DDC Kariakoo au Diamond Jubilee.
 
Maadili weight loss
 
Ndo maana nchi haiendelei yaani makonda adili na maswala nyeti ya nchi pamoja na kupata zero form four. hembu kuweni serious enyi chawa wa lumumba
Just imagine....manake eti wamekosa mtu mwenye utimamu na uppeo wa akili wakammchukua Bashite eti ndo azunguke kukinadi chama na kutatua matatizo ya wananchi.by the way hatatui kitu ni siasa chafu tu za majukwaan kwni hata huo mgogoro wa ardhi watatuzi ni wafanyakazi wa serikali na wao wanadeal na fact so hata kama umelia na kujitoa ufahamu kwa mwenezi but kama kisheria iko wazi wewe ni mvamizi wa eneo utaondolewa tu hata uyo mwenezi hata kusaidia.ni siasa hangaisha bwege tu za majikwaani lkn wenye maamuzi ni watu wengine kabisa who does not listen to shit
 
Vitu vingine ni upumbavu, MAKONDA aache kazi zake aje kubishana na mtu ilimradi MTU kweli? Hakuna anaekujua wala kukufahamu mnajadili nini sasa
 
Ikiwa nishindano la makalio makubwa basi najua atakayeshinda... Vile anafikiri Kwa "hayo" anadhani atashinda maana anayo!!
Kiongozi makini hawezi bishana na pumbafu mwana mizaa
 
So katika topics zoote alizoorodhesha kwamba anaweza kudebate na Makonda we ndo umeona hiyo pekee??

Huyo Makonda ana nini kichwani hadi asiwezekane??

Au wewe kati ya watu woote wa maana waliopo CCM we unaona Makonda ndo mwamba sana??
Labda kama umeamua kujitoa ufaham, vinginevyo hata wewe huamini ulichokiandika.
 
Kuna viande wanalalamika kisa umetaja Hiphop wakati umesema hapo mjadala wowote ule anaoutaka mwenezi mpenda midahalo

Kweli hii nchi ina viazi wengi sana, yaani kwenye content yote hii uliyosema walichoona ni hiphop tu??

Tena kiuhalisia tukienda nje ya boxsi mziki ambao una historia ya kuziongelea harakati na kumpigania mtu mweusi kuliko hizo taarabu wanazozisikiliza na kuzipamba kwenye majukwaa yao wakati wa kampeni??

Hii nchi tuna wapuuzi wengi sana
 
Hizi shithole countries, eti SG wa political party analindwa na tiss kwa kutumia kodi yangu, hii ni craze
Mimi mwenyewe nimeshangaa kuziona kaunda suti nyeusi hapo nikajua labda mama yupo miongoni mwa hao wanaotembea. Inasikitisha sana
 
Aisee nimetafuta maana ya pretzel dictionary Bado sifahamu BBL [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Una smartphone na Google unashindwa kuelewa maana ya hilo neno la kimarekani? Ni crisps biscuit hizo🤣
 
Ngoja chawa wake waje wakupopoe.
Anayemteua Makonda basi inawezekana wote wanalingana uwezo
 
Makonda ni muuaji na mtesi wa Watanzania mikono yake ina damu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…